Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

Hakuna mtu katika ulimwengu wa kibinadamu aliyewahi kufanikiwa bila kufuata upepo wa kisiasa. Lakini sikushangai, inawezekana nimeongea kwa context iliyo nje na upepo wako wa kuelewa.
Inaonekana wewe ni team kujipendekeza. Hata hivyo mafanikio yatokanayo na kulamba miguu ya binadamu mwenzako ni ya KIFALA SANA.
 
Kuna vifo vya baadhi ya watu ni majibu ya vilio vya wengi walio mlilia Mungu
Labda kama unamaanisha Vilio vya Magaidi ambao walikuwa wanamhara kweli kweli! Usisahau Chad ina tishio kubwa la ugaidi, na Idris Deby na mwanae walikuwa mara kwa mara wanaenda wenyewe mstari wa mbele kupambana na magaidi, na sio kuwaacha wanajeshi wengine pekee ndio waende vitani.
 
Angalia Laurent Kabila alivyouawa, mlinzi wake Rashid Kasereka, ambaye baadaye alipigwa risasi na Col Eddy Kapendi. Ni kama mchezo wa kuigiza. Maana inasemekana Rashid alikuwa anasubiriwa na mtu nje ya Ikulu huku ngazi ya kuruka ukuta nje ikiwa imeandaliwa. Mpaka leo hii nani alipanga njama za kumuua Kabila ni ndoto.

Mauaji ya Cyprian Ntayaramirwa na Habyarimana yalionesha namna gani ukiwa Rais wa Kiafrika unakuwa unawindwa ili uuliwe kwa nguvu au kwa kutumia akili.

Leo hii Idris Deby Rais wa Chad anauawa akiwa battlefront, jambo ambalo ni mashaka makubwa.

Kwamba Rais wa nchi anakwenda battlefront taarifa kamili za kiusalama?

Duh, watanzania tumuombe Mungu.

Umemsahau Nyerere alikufa kwa maradhi gani!! Na yalimtesa kwa muda gani?

Raisi wa zenji pia.. ..Amani abeid karume!
 
Wengi ukifuatilia wanakua ni madikteta...

Sasa kama huyo Deby anaongoza mihula 6 pekeyake !

Unataka kusema hakuna wengine zaidi yake na wenye mawazo mbadala?
Mwingine unakuta uongoz wa chama anakomaa miaka zaid ya ishirin sasa akipewa nchi atatoka kweli
 
The Mega-fool foolishly died of Covid-19, though his close circle have blanketed it with the failure of pacemaker.
Jamaa umeandika kwa hisia Kali sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vifo vingine huwa ni majibu ya maombi ya wanaoteseka. Mungu ni fundi mkuu. Mbona inaeleweka kabisa. Furaha tuliyo nayo ni kubwa mno. Hata kama sina kumi mfukoni lakini nikiwa na furaha, uhuru na bila hofu huwa hata kilo zinaongezeka. Hakuna kitu kibaya kama hofu maana inaleta stress na matokeo ya stress ni mabaya mno kiafya.

Asante Mungu kwa kujibu maombi.
Ubarikiwe sana mtumishi siku hizi tunaishi kwa amani sana ashukuriwe baba yetu wa mbinguni kutuondolea muuaji na mtesaji
 
Ninyi mlioshindwa kupiga maisha enzi za Jiwe ndio MNA hasira sana. Tunajua kufuata uwelekeo wa upepo tulidunda kwa Che Nkapa, tulidunda kwa JK, tukatusua kwa Jiwe na sasa tunaangalia upepo wa Mama unaelekea wapi ili twende nao. Wewe baki na hasira za Mkizi. Jiwe, Jiwe! Hukumfanya kitu akiwa hai na HUWEZI kumfanya kitu akiwa Hayati. AND THIS IS A FACT OF LIFE!
Hili TAGA linalopoka mimavi mitupu aisee [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom