Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

Huyo alijitakia mwenyewe kifo. Unatawala kidikteta kwa miaka 30, unafanya uchaguzi wa maigizo na kujitangazia ushindi kibabe, una maadui kibao wa ndani, bado unakwenda battlefront kufuata nini?
Mwanakulitafuta mwanakulipata
si yeye , atakuwa alifanyiwa mambo ya kiswahili, sio kitu cha kawaida rais kwenda vitani front
 
Ninyi mlioshindwa kupiga maisha enzi za Jiwe ndio MNA hasira sana. Tunajua kufuata uwelekeo wa upepo tulidunda kwa Che Nkapa, tulidunda kwa JK, tukatusua kwa Jiwe na sasa tunaangalia upepo wa Mama unaelekea wapi ili twende nao. Wewe baki na hasira za Mkizi. Jiwe, Jiwe! Hukumfanya kitu akiwa hai na HUWEZI kumfanya kitu akiwa Hayati. AND THIS IS A FACT OF LIFE!
Unaongaea utadhani tunafahamiana. Wengine wala hatutegemei upepo wa kisiasa ndio tufanikiwe chief. Hata hilo jiwe lenu lingetawala milele
 
Unaongaea utadhani tunafahamiana. Wengine wala hatutegemei upepo wa kisiasa ndio tufanikiwe chief. Hata hilo jiwe lenu lingetawala milele
Hakuna mtu katika ulimwengu wa kibinadamu aliyewahi kufanikiwa bila kufuata upepo wa kisiasa. Lakini sikushangai, inawezekana nimeongea kwa context iliyo nje na upepo wako wa kuelewa.
 
Hakuna mtu katika ulimwengu wa kibinadamu aliyewahi kufanikiwa bila kufuata upepo wa kisiasa. Lakini sikushangai, inawezekana nimeongea kwa context iliyo nje na upepo wako wa kuelewa.
Hakuna mtu!!! Ulimwenguni!!! Umeishi kwa favour za kisiasa mpaka umelemaa ubongo chief.
 
Mauaji ya Cyprian Ntayaramirwa na Habyarimana yalionesha namna gani ukiwa Rais wa kiafrika unakuwa unawindwa ili uuliwe kwa nguvu au kwa kutumia akili.
Ntaryamira=Ntayaramirwa; mbona la Habyarimana umepatia???????😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎

Vipi Salva Kir
 
Angalia Laurent Kabila alivyouawa, mlinzi wake Rashid Kasereka, ambaye baadaye alipigwa risasi na Col Eddy Kapendi. Ni kama mchezo wa kuigiza. Maana inasemekana Rashid alikuwa anasubiriwa na mtu nje ya Ikulu huku ngazi ya kuruka ukuta nje ikiwa imeandaliwa. Mpaka leo hii nani alipanga njama za kumuua Kabila ni ndoto.

Mauaji ya Cyprian Ntayaramirwa na Habyarimana yalionesha namna gani ukiwa Rais wa Kiafrika unakuwa unawindwa ili uuliwe kwa nguvu au kwa kutumia akili.

Leo hii Idris Deby Rais wa Chad anauawa akiwa battlefront, jambo ambalo ni mashaka makubwa.

Kwamba Rais wa nchi anakwenda battlfront bila taarifa kamili za kiusalama?

Duh, watanzania tumuombe Mungu.
Kwa hiyo Roho imekuuma sana huyo chawa wa Chad kufa? Ma Rais Pumbavu Kama huyo kenge wa Chad acha wafe tu
 
Usijiamini sana mkuu ukajiona wewe ndo mwenye akili. Maisha hugeuka. Leo upo juu kesho upo chini. Usidharau watu ukajiona wewe ndo mjanja. Maisha hayana mshindi. Jifunze kuwa humble,la sivyo maisha yatakufanya kitu mbaya sana
Ameshindwa kujifunza kwa shujaa mwenzake. Mara nyingi anguko la shujaa huwa la aibu. Rejea Samson, Okonkwo na hata shujaa na mwamba wa Afrika ambaye anguko lake lilimkuta ofisini akiwa anachapa kazi. Hiiiiiiiiiiiiiiii....bhaghosha.
 
Back
Top Bottom