Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

Huyo alijitakia mwenyewe kifo. Unatawala kidikteta kwa miaka 30, unafanya uchaguzi wa maigizo na kujitangazia ushindi kibabe, una maadui kibao wa ndani, bado unakwenda battlefront kufuata nini?
Mwanakulitafuta mwanakulipata
Siku zilikuwa zimefika kapigwa na wanamgambo wasio na mafunzo yoyote yeye akiwa Marshal.

Madikteta wanakufa vifo vya fedheha na aibu sana. Karma
 
Wacha wateketeee hao mafala madikteta yameua watu wengi sana huko Chadi wakishirikiana na vyombo vya ulinzi na usalam vya Chadi.
 
Tumuombe Mungu ili iweje! Kwenda zako, sina huo muda. Lugha ya uswazi, mtajiju!
 

Hivi kifo nacho ni kitu cha kuanza kujadiana? Nani asiyekufa? Hawa waafrika waanze kutimiza wajibu wao. Wanaishi kama Hakuna kufa. Wamekufa wanafikiria the world cares
 
unashangaa mtu kuuwawa akiwa battle front?
man front line si sehem ya mchezo aisee, bullet doesnt choose rank..
angefuatilia kaa karib mapambano without kwenda frontline, probably angekuwa alive.

aliji expose amekuwa hit. kafa kama askari wengine wanaokuwa front.

am sorry to say hapa hamna utata. you reap what you sow.
 
Nilivyoona unajiita Detective J nikajua umepitia masuala ya usalama. Kumbe ni mropokaji tu. Rais mpaka anakwenda battle front bila tathimini ya kiusalama?
 
Hivi kifo nacho ni kitu cha kuanza kujadiana? Nani asiyekufa? Hawa waafrika waanze kutimiza wajibu wao. Wanaishi kama Hakuna kufa. Wamekufa wanafikiria the world cares
Kama sio vya kujadili umepost kutafuta nini?
 
JPM
 
Hao madikteta acha wafe tu,na bado
 
Unaweza kuwa raisi hata miaka elfu ni mbinu tu za kuiendesha nchi,lakini kwa serikali za kwetu yanayowamaliza ni wao kujiona wababe wasiowezeka kufanywa lolote,hilo ni kosa kubwa sana,ukishaona unalindwa na mabazoka na msafara uliosheheni tentedi gilasi ,unajiona upo salama,unashindwa kuelewa kwa nini Inzi anasugua miguu mbele na nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…