Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

Tabia za maraisi wa Africa,zinawafanya wawe na maadui wengi wa ndani na nje.Udikteta,kujifanya miungu watu,ufisadi uliopitiliza,kung'ang'ania kukaa madarakani kwa nguvu hata kama miula yao ya kutawala ikiisha,wizi wa kura,kutesa raia wao na maovu mengine mengi.Kwa style hiyo hawawezi achwa kuviziwa kila kona!
 
Inaweza kuwa kweli.
 
Wacha apumzike hakuwa na hekima kuunganisha taifa lake, mdini sana. Pamekuwa na vita wenyewe kwa wenyewe hata Magu alikuwa na mwelekeo kutupeleka huko.
 
Hii sentensi ya mwisho nimeipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…