daktari feki
Senior Member
- Jun 25, 2020
- 166
- 122
Inaonekana wewe ni team kujipendekeza. Hata hivyo mafanikio yatokanayo na kulamba miguu ya binadamu mwenzako ni ya KIFALA SANA.Hakuna mtu katika ulimwengu wa kibinadamu aliyewahi kufanikiwa bila kufuata upepo wa kisiasa. Lakini sikushangai, inawezekana nimeongea kwa context iliyo nje na upepo wako wa kuelewa.
Mbona Gary Hiroyuki Tagawa aliongoza jeshi kwenda kutafuta waasi na demu wake , Demu wake alitoroka na Dolph Lundgren, kwenye muvi ya Brigde of the Dragons.Hivi raisi anaendaje vitani jamani? Is this possible .Tena front kabisa??
Labda kama unamaanisha Vilio vya Magaidi ambao walikuwa wanamhara kweli kweli! Usisahau Chad ina tishio kubwa la ugaidi, na Idris Deby na mwanae walikuwa mara kwa mara wanaenda wenyewe mstari wa mbele kupambana na magaidi, na sio kuwaacha wanajeshi wengine pekee ndio waende vitani.Kuna vifo vya baadhi ya watu ni majibu ya vilio vya wengi walio mlilia Mungu
Wivu wako hakusaidii zaidi ya kujiadhiri wewe binafsi kiafya!Inaonekana wewe ni team kujipendekeza. Hata hivyo mafanikio yatokanayo na kulamba miguu ya binadamu mwenzako ni ya KIFALA SANA.
Mwamba alijimwambafy kumbe anaishi kwa nguvu za Umeme, akasahau kuwa kuna mwenye umeme anayehitaji kunyenyekewaOngezea na mwamba wa Afrika mpinga ubeberu.
Angalia Laurent Kabila alivyouawa, mlinzi wake Rashid Kasereka, ambaye baadaye alipigwa risasi na Col Eddy Kapendi. Ni kama mchezo wa kuigiza. Maana inasemekana Rashid alikuwa anasubiriwa na mtu nje ya Ikulu huku ngazi ya kuruka ukuta nje ikiwa imeandaliwa. Mpaka leo hii nani alipanga njama za kumuua Kabila ni ndoto.
Mauaji ya Cyprian Ntayaramirwa na Habyarimana yalionesha namna gani ukiwa Rais wa Kiafrika unakuwa unawindwa ili uuliwe kwa nguvu au kwa kutumia akili.
Leo hii Idris Deby Rais wa Chad anauawa akiwa battlefront, jambo ambalo ni mashaka makubwa.
Kwamba Rais wa nchi anakwenda battlefront taarifa kamili za kiusalama?
Duh, watanzania tumuombe Mungu.
Mwingine unakuta uongoz wa chama anakomaa miaka zaid ya ishirin sasa akipewa nchi atatoka kweliWengi ukifuatilia wanakua ni madikteta...
Sasa kama huyo Deby anaongoza mihula 6 pekeyake !
Unataka kusema hakuna wengine zaidi yake na wenye mawazo mbadala?
Wewe Bujibuji utakuwa ni mcha Mungu wa kweli hii comment yako imenibariki mnooooKuna vifo vya baadhi ya watu ni majibu ya vilio vya wengi walio mlilia Mungu
Jamaa umeandika kwa hisia Kali sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The Mega-fool foolishly died of Covid-19, though his close circle have blanketed it with the failure of pacemaker.
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumuombe Mungu ili iweje! Kwenda zako, sina huo muda. Lugha ya uswazi, mtajiju!
Kinyume chake je⁉️Kuna vifo vya baadhi ya watu ni majibu ya vilio vya wengi walio mlilia Mungu
Jibu zuri Sana kwa watu wapumbavu kama huyuUkitumia akili wewe inatosha.
Kamuulize GwajimaKinyume chake je⁉️
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2958][emoji2958][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Mmoja anajiitaga mbabe kanyooshwa na Covid akijidai eti yuko kwny vita vya kiuchumi.
Wewe ukifa nani atajua humu?? Kengemaji weweNgoma imebaki kwako. Hata ukifa, hakuna atakayejua humu. Huwenda hata majirani zako hawatajua! Ahahahahahahah! Poor you!!!!
Ubarikiwe sana mtumishi siku hizi tunaishi kwa amani sana ashukuriwe baba yetu wa mbinguni kutuondolea muuaji na mtesajiVifo vingine huwa ni majibu ya maombi ya wanaoteseka. Mungu ni fundi mkuu. Mbona inaeleweka kabisa. Furaha tuliyo nayo ni kubwa mno. Hata kama sina kumi mfukoni lakini nikiwa na furaha, uhuru na bila hofu huwa hata kilo zinaongezeka. Hakuna kitu kibaya kama hofu maana inaleta stress na matokeo ya stress ni mabaya mno kiafya.
Asante Mungu kwa kujibu maombi.
Hili TAGA linalopoka mimavi mitupu aisee [emoji23][emoji23]Ninyi mlioshindwa kupiga maisha enzi za Jiwe ndio MNA hasira sana. Tunajua kufuata uwelekeo wa upepo tulidunda kwa Che Nkapa, tulidunda kwa JK, tukatusua kwa Jiwe na sasa tunaangalia upepo wa Mama unaelekea wapi ili twende nao. Wewe baki na hasira za Mkizi. Jiwe, Jiwe! Hukumfanya kitu akiwa hai na HUWEZI kumfanya kitu akiwa Hayati. AND THIS IS A FACT OF LIFE!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwaka wa madikteta huu mpaka Jiwe limekufa sijawahi kuona aiseee .
Vipi Kenedy wa marekaniMauaji ya Cyprian Ntayaramirwa na Habyarimana yalionesha namna gani ukiwa Rais wa Kiafrika unakuwa unawindwa ili uuliwe kwa nguvu au kwa kutumia akili