Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

Huyo rais wa Chad alikua anaenda vitani frontline kwa sababu zake binafsi za kubaki madarakani hatabaada ya kuiongoza nchi hiyo kwa takribani miaka 30, Bado alikua hataki kuondoka madarakani
maana karibu serikali yote amewachomeka vibaraka wake hali inayosababisha nchi isitawalike, alichokipata ni ushindi kwa raia walio wengi nchini Chad.
 
Is obvious,
Vifo lazima viwe vya mashaka coz nao wanatawalamkwa mashaka.
Alioandalo mtu ndilo atakalolivuna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…