Vifo vya ghafla vya Lemtuz na Membe, naanza kuunganisha nukta!

Kipindi hiki cha miezi ya May hadi Julai ni vyema kuchukua tahadhari hasa wazee na watoto wachanga kwani baridi huwa huamsha virusi pia kuna kuwa na mafua makali.
 
Unaposema Lemutuz una maana William Malecela aliyekuwa New York?
 
Lemetuz si ameumwa hadi kulazwa mara kwa mara mkuu. Unataka kusema nini.

Kama unadai membe kafa kwa hivyi virusi unahisi membe hakuwai kupata chanjo zote stahiki.

Kifo ni kifo ata hivyo miaka 60+ inatosha kuishi
Muonekano wake, kama ningekuwa mimi ningetafuta amani na Muumba. Sikio la kufa huwa halisikii dawa. Na mwenye macho haambiwi tazama
 
jilock down mkuu.. msitusumbue.
 
Mimi niewashauri watanzania wachukue tahadhari za kiafya. Kama wewe unaishi Ulaya, tulize mshono sisi tunaoishi Tanzania tujilinde.
 
Pamoja na hilo, kufuatia uzoefu wa 2019, virusi huwaathiri zaidi watu wenye matatizo kama hayo.
Wewe ni daktari………?……..ili nijue nakuchukulia serious kwenye angle gani……..
 
Haya mambo yanifikirisha sana...
Sasa kama Covid 19 ipo, mbona waombolezaji hawajavaa mask????
Au kusema wote hapo wana chanjo????
 
Kutunza afya zetu ni muhimu, lakini mwisho Kifo ni kifo boss, yaweza kua ni upepo tuu kama wanavyoongozana kwenye familia mda mwingne au mtaani.
What do you mean by saying ''kifo ni kifo tu''! Kwani amesema kifo siyo kifo? Au amesema kuna kifo ni kifo, na kuna kifo kisio kifo? Yeye kasema tuchukuwe tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…