Vifo vya ghafla vya Lemtuz na Membe, naanza kuunganisha nukta!

Vifo vya ghafla vya Lemtuz na Membe, naanza kuunganisha nukta!

Umeona mapema jambo hilo ni kweli kuna hali flani ya kubanwa kifua hasa usiku watu tuwe makini zaidi na kinga ya miili yetu kutumia mitishamba na kwenda hospitali.
1684092423465.png
 
Kama unasubiri daktari ndiye aje kukumbusha kunawa mikono kabla ya kula, kutojisaidia vichakani, kula mlo kamili na kwenda hospitali unapohisi unaumwa, basi subiri hapo hapo ulipo aje kutekeleza wajibu wake.
Hebu kwanza………hapa tunaongelea cowid au pindupindu………….?……..
 
Hebu kwanza………hapa tunaongelea cowid au pindupindu………….?……..
Wapi muanzilishi wa munakasha ametaja covid kwenye andiko lake? Au unataka kumtilia maneno mdomoni?
 
Kwa mujibu wa daktari wa familia, kifo cha Membe inasemekana kimesababishwa na virusi vilivyoshambulia mfumo hewa vilivyopelekea damu kuganda. Na kama tujuavyo, virusi huwa active zaidi wakati wa baridi, kama ilivyowahi kutokea mwaka 2019.
Amkeni kimeuna hukooooo! Kiko wapi sasa? Lazima wanafiq waaibike mwaka huu.
 
Back
Top Bottom