Vifo vya ghafla vya Lemtuz na Membe, naanza kuunganisha nukta!

Nakumbuka magufuri aliwahi kusema barozi maige alikua mgonjwa wa mda mrefu .Akasema wa tz tuwe na amani mwisho wa siku naye akatangulia bado wakasema naye alikua mgonjwa wa mda mrefu
Afdhali wewe umeunganisha nukta vizuri mkuu. Wengine bado ni matomaso. Mpaka yawakute wao wenyewe au watu wa familia zao ndipo wagutuke.
 
Wote wamechanjwa
 
Wewe ni daktari………?……..ili nijue nakuchukulia serious kwenye angle gani……..
Kama unasubiri daktari ndiye aje kukumbusha kunawa mikono kabla ya kula, kutojisaidia vichakani, kula mlo kamili na kwenda hospitali unapohisi unaumwa, basi subiri hapo hapo ulipo aje kutekeleza wajibu wake.
 
Wanakaza fuvu hao viongozi. Corona"Itawaramba"
 
Umeona mapema jambo hilo ni kweli kuna hali flani ya kubanwa kifua hasa usiku watu tuwe makini zaidi na kinga ya miili yetu kutumia mitishamba na kwenda hospitali.
 
Watu wangapi wanakufa na hamjaja kuanzisha nyuzi kama hizi? Au kwa kua ni Hawa wawili waliokufa ndio unakuja na nyuzi kama hizi?

Kufa tutakufa tu, uongeze juhudi kwenye kujilinda au usiongeze juhudi siku ikifika lazima uteme ndoano tu.

Kwa imani yako Mtafute Mungu. Nyungu, santizer, maji tiririka hayatakusaidia siku hofu yako ijapo.
 
Mimi niewashauri watanzania wachukue tahadhari za kiafya. Kama wewe unaishi Ulaya, tulize mshono sisi tunaoishi Tanzania tujilinde.
Hata Ulaya ipo. Kuanzia mwezi March maambukizo yako juu ila chanjo zinasaidia japo bado kuna vifo hasa kwa wazee na wenye matatizo ya kiafya. Infact covid haijawahi kuondoka tangu ilipoingia.
 
Na watu wengi now wanaumwa mafua na kikohozi
Mafua na kikohozi inaweza kuwa siyo covid bali ni msimu wa mafua tu. Nilipatwa na mafua makali na homa nikadhani ni covid lakini nilipopima nikakuta siyo. NB: Covid ipo lakini siyo kila mwenye mafua na kikohozi ni covid
 
Captain alishasema hili wimbi la 3 litaondoka na mtu iwe isiwe ngoja tusubiri ,captain alienda mbali zaidi na kusema kwamba hata yeye pia ataondoka
 
What do you mean by saying ''kifo ni kifo tu''! Kwani amesema kifo siyo kifo? Au amesema kuna kifo ni kifo, na kuna kifo kisio kifo? Yeye kasema tuchukuwe tahadhari.
πŸ€£πŸ€£πŸ‘πŸ‘πŸ‘ basi ndugu nimekosea, hatulipwi hapa.
 
Kwa imani yako Mtafute Mungu. Nyungu, santizer, maji tiririka hayatakusaidia siku hofu yako ijapo.
Hata mimi kwenye mnakasaha wangu nimesema tumtangulize Mungu. Haya ndiyo matatizo ya kukimbilia kucomment kabla ya kusoma mnakasha.
 
Mafua na kikohozi inaweza kuwa siyo covid bali ni msimu wa mafua tu. Nilipatwa na mafua makali na homa nikadhani ni covid lakini nilipopima nikakuta siyo. NB: Covid ipo lakini siyo kila mwenye mafua na kikohozi ni covid
Hiyo covid unayosema nani kaitaja? Naona umeunganisha nukata vibaya mkuu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Hata mimi kwenye mnakasaha wangu nimesema tumtangulize Mungu. Haya ndiyo matatizo ya kukimbilia kucomment kabla ya kusoma mnakasha.
MnakashaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸ‘‹
 
Hiyo covid unayosema nani kaitaja? Naona umeunganisha nukata vibaya mkuu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Nukuta( NUKTA)πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹
 
Juzi na jana na leo kijijini kwenu wamezika wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…