J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 15, 2021 #1 Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe. Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi. Hii dunia kuna binadamu makatili jamani. Eid Mubarak!
Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe. Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi. Hii dunia kuna binadamu makatili jamani. Eid Mubarak!
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 May 15, 2021 #2 johnthebaptist said: Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe. Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi. Hii dunia kuna binadamu makatili jamani. Eid Mubarak! Click to expand... naona unajarib kuanzisha random story kuwaindoa watu kwenye main topic. pole sana
johnthebaptist said: Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe. Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi. Hii dunia kuna binadamu makatili jamani. Eid Mubarak! Click to expand... naona unajarib kuanzisha random story kuwaindoa watu kwenye main topic. pole sana
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 May 15, 2021 #3 Mawazo aliuwawa asubuhi kweupeeee kama jamabazi na vikundi vya kijani ambavyo havijawahi kufuatiliwa hadi leo
Mawazo aliuwawa asubuhi kweupeeee kama jamabazi na vikundi vya kijani ambavyo havijawahi kufuatiliwa hadi leo