Vifo vya Mabina wa CCM na Mawazo wa Chadema vilikuwa vya kinyama sana, baadhi ya maeneo watu ni makatili sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe.

Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi.

Hii dunia kuna binadamu makatili jamani.

Eid Mubarak!
 
naona unajarib kuanzisha random story kuwaindoa watu kwenye main topic. pole sana
 
Mawazo aliuwawa asubuhi kweupeeee kama jamabazi na vikundi vya kijani ambavyo havijawahi kufuatiliwa hadi leo
 
Back
Top Bottom