Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

Pole sana mkuu, ila hao wenzio hasa wa big four walikuwa na kazi za kuwaweka busy sana hizo changamoto za STDs walizipataje kwa ubize wao wa kazi? Ila nawe ubadilishe lifestyle ili uwe na amani, simaanishi kuwa upo kama wao ila naona una mawazo sana yanayoashiria kuna kitu hakipo sawa maishani mwako.
 
Acha mawazo hayo mara moja...

Aliwazalo mjinga ndilo humtokea...

Kifo kipo ila maisha lazima yaendelee...

Enjoy ila kuwa makini.

NB: Sijakutuma ukachomeke na kuchomoa
Mnajaribu kukwepa ukweli wa mleta uzi.

Ngono ina madhara kwa makubwa kwa familia.

Wewe wakati unauz nyapu au u atindua hizo nyapu unajifanya hujali.

Mara unapougu gonjw lisilo na tiba unawaumiza Wazazi wako na ndugu zako unawaacha na maumivu makali.
 
Nje ya hao Pia nilikuwa na rafiki yangu mwingine mwalimu nilijuana nae wakati ananifundisha Physics A level anaitwa Elias kihombo. Na yeye na yeye akaja kufariki kwa sababu zinazosemekana ni HIV complications.





Kumbe inasemekana huna uhakika kwanini uchafue watu Tena Kwa majina acha kujitia umuch know kwamba unafahamiana na watu mashuhuri.. Tulia na mpenzi mmoja, kula vzr, angalia video, fanya mazoea I, SALI, Subiria kufa hakuna LA ziada
 
"Ukipata UKIMWI ufe na wakuzike huko huko wasikulete nyumbani kabisa"

Huu ni mkwara wa bi mkubwa (RIP) alionipiga wakati nakwenda kuanza kidato cha kwanza sehemu moja iliyokuwa na UKIMWI hatari. Maneno haya sijayasahau mpaka leo na nilishasema kuwa nitakuja kupata UKIMWI kwa njia ambazo ziko nje ya uwezo wangu.

➡️➡️ Usiishi kwa hofu bali kula bata lakini kwa tahadhari. Na usiuze mechi hata kama pisi ni nzuri kuliko malaika!
 
Inaonekana jamii unayozaliwa kuna ufusika mkubwa sana.

Yaani Kidato cha kwanza tu Mama alishaanza kukutilia mashaka?
 

Elias ni mwalimu wa physics maarufu. Hata humu jamiiforums uzi wake upo ambao unaeleza pia kuhusu kilichomuua.

Uvumi ni mkubwa ndio maana nikasema inasemekana
 
Mzumbe University was established by the Mzumbe University Charter, 2007 under Section 25 of the Universities Act. No. 7 of 2005 which repealed Mzumbe University Act. No 9 of 2001.

Umechanganya madesa. Mzumbe university haijaanzishwa 2007.

Mpaka kufika 2007. Mzumbe university ilikuwa inatimiza graduation ya 6 ya wahitimu wake wa univeristy
 
Let bygones be bygones; that is the best advice I can offer.



View: https://www.youtube.com/watch?v=BAoCYwefq1A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…