Vifo vya vigogo vyaacha Simanzi

Viongozi wetu walitoa maneno ya dhihaka sana kuhusu gonjwa hili, hawakuacha maneno ya akiba, na licha ya gonjwa kurudi kwa kasi ya 4G ila bado wanaongea maneno ya uongo kwamba halipo (Wamelibatiza jina jipya Pnemonia).

Taifa lipo njia panda, wananchi wanataharuki wakisubiri tamko la serikali, ila serikali ipo kimya ikisisitiza hakuna Covid-19 kuhofia kuaibika mbele ya walimwengu.

Mpaka lije kuondoka na kigogo mmoja wa juu ndio akili zitawasogea. Na litaondoka tu na mtu wa juu hivi karibuni.

Nasema uongo ndugu zanguuu?
 
Endelea kusubiria tamko Hali wao wamejificha
 
Author wa hilo gazeti ameona ni sifa kuchapicha gazeti namna hiyo au ?
Waandishi wa siku duh ! E Mungu tuepushe kenye hili janga.

Kosa la mwandishi liko wapi hapo? Tuacheni unafiki. Wacha sauti zipazwe hatuwezi kupumua.

Tunasikia tanzia kwa sababu tungali hai. Hamtaki tusizikie pia tukiwa hai? Uwezo wa kupisha vifo hivi u mikononi mwetu sisi na hasa kwa viongozi wetu.

Makelele ya kheri haya ni kuwataka viongozi wetu kiroho safi kuamka na kuchukua hatua.

Tutawapongeza mno kwa kuchukua hatua na tutawapigia kelele mno kwa kutokuchukua hatua.
 
Wwe unataka hatua gani zichukuliwe na Viongozi wako!?
 
"Utakuwa unatumika na mabeberu wewe sio bure" Inchi ilishatakaswa na maombi ya siku tatu.

"Ccm oyeee"
 
Eti kagonjwa kadogo! Sasa kama ni kagonjwa kadogo mbona kaikimbia Dodoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…