Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tazizo nini hapo?Author wa hilo gazeti ameona ni sifa kuchapicha gazeti namna hiyo au ?
Waandishi wa siku duh ! E Mungu tuepushe kenye hili janga.
Hao vigogo hawajafa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tazizo nini hapo?Author wa hilo gazeti ameona ni sifa kuchapicha gazeti namna hiyo au ?
Waandishi wa siku duh ! E Mungu tuepushe kenye hili janga.
Unatumiwa na wapinzani au mabeberu ?Kosa la mwandishi liko wapi hapo? Tuacheni unafiki. Wacha sauti zipazwe hatuwezi kupumua.
Tunasikia tanzia kwa sababu tungali hai. Hamtaki tusizikie pia tukiwa hai? Uwezo wa kupisha vifo hivi u mikononi mwetu sisi na hasa kwa viongozi wetu.
Makelele ya kheri haya ni kuwataka viongozi wetu kiroho safi kuamka na kuchukua hatua.
Tutawapongeza mno kwa kuchukua hatua na tutawapigia kelele mno kwa kutokuchukua hatua.
Nafikiri hapa tunajadili madai ya kwamba kakimbia corona dodoma,hilo ndio ambalo nalipinga hapa maana ni madai yasio na mashiko.Lini chato imekuwa ni Ikulu nyingine? Endelea kutoelewa lakini siku ukitia akili kichwani utaelewa tu. Waliomtangulia wote hawakufanya huu upuuzi unaoendelea sasa.
Hapo utapumua vp unafikiri? Ni mwendo wa nimonia tu.Mbona yameshasemwa mno wewe hujui?
Kwa maana kumbukumbu zako zaonyesha walakini, nakupa sasa moja tu ili usisahau tena:
A waachie wataalamu wa afya uongozi wa vita dhidi ya gonjwa hili. Are we asking for too much?
We can't breathe!
Tazizo nini hapo?
Hao vigogo hawajafa?
Tunaongozwa na jitu hovyo kabisa.Viongozi wetu walitoa maneno ya dhihaka sana kuhusu gonjwa hili, hawakuacha maneno ya akiba, na licha ya gonjwa kurudi kwa kasi ya 4G ila bado wanaongea maneno ya uongo kwamba halipo (Wamelibatiza jina jipya Pnemonia).
Taifa lipo njia panda, wananchi wanataharuki wakisubiri tamko la serikali, ila serikali ipo kimya ikisisitiza hakuna Covid-19 kuhofia kuaibika mbele ya walimwengu.
Mpaka lije kuondoka na kigogo mmoja wa juu ndio akili zitawasogea. Na litaondoka tu na mtu wa juu hivi karibuni.
Sawa, kama itakua ndio njia ya viongozi wetu kurudi kwenye ukweli- kukiri covid19 upo na kutoa takwimu na taarifa sahihi, na kushirikiana na mataifa jirani kudhibiti hili gonjwa, ni vyema. Ila tusiombeane kifo, tuombe Mungu awape hekima na kuwaondolea kiburi viongozi wetu, hasa kiongozi mkuu.Mpaka lije kuondoka na kigogo mmoja wa juu ndio akili zitawasogea. Na litaondoka tu na mtu wa juu hivi karibuni.
😀😀😀😀😀 uko serious mkuu?Hizi ndizo gharama za kuweka dubwasha ikulu
Si suala la kudanganywa na mtu yeyote bali wananchi wenyewe wanavyoichukulia corona ndio tatizo. Hebu tizama hiyo picha,hao nao wamefanya hivyo kwa kuamini uongo wa rais kuwa corona imeondoka kwa maombi?Kuna mchungaji Nigeria aliingia Kwa Simba ili awe Sawa Sawa na Daniel. Hata hakutua chini walikuwa wameshamgawana. Mchungaji mwingine kanda ya ziwa alitaka kufunga siku 40 kama Yesu hazikuisha ,wakazika. Kuna Rais mmoja anawadanganya Wananchi wasichukue tahadhari Kwani MUNGU kaondoa Korona Tz. Tusubiri matokeo.
Na litaondoka tu na mtu wa juu hivi karibuni.
Samahani, hizo bendera ni za timu gani ?Si suala la kudanganywa na mtu yeyote bali wananchi wenyewe wanavyoichukulia corona ndio tatizo. Hebu tizama hiyo picha,hao nao wamefanya hivyo kwa kuamini uongo wa rais kuwa corona imeondoka kwa maombi? View attachment 1686384
Unatumiwa na wapinzani au mabeberu ?
Ww unasubiri kiongozi aje akwambie "sasa chukua tahadhari" wakati unazijua, hii sio sawa kabisa.
Yani kila jambo kiongozi, kumbuka na yy alisoma kwa manufaa yake ndg acha kupotosha jamii
5tena au nasema uongo ndg zangu
Hapo kuna upande corona imepungua na upande mwengine Corona imeondoka kwa maombi,sasa utajua mwenyewe tofauti ipo wapi?Corona ipo,chukueni tahadhari!
View attachment 1686387
Mh Nina wasiwasi na kizazi hiki Kama kitaweza kufanya hivyo, labda after three generations from ours 🤔Tunakoelekea sisi watanzania nadhani tutakuja kutunishiana misuli. Wale ndg zangu na mie kazi tunayo
PView attachment 1686406
Eeh mola wetu wakumbushe viongozi wao tunashindwa kupumua.
We can't breathe
Nduhu u kweshema!
Ni suala la muda tuMh Nina wasiwasi na kizazi hiki Kama kitaweza kufanya hivyo, labda after three generations from ours 🤔
Corona si mjinga kama wewe ufikiri ya kuwa ana siasa,yeye kazi yake ni kuua tu!Hapo kuna upande corona imepungua na upande mwengine Corona imeondoka kwa maombi,sasa utajua mwenyewe tofauti ipo wapi?View attachment 1686407View attachment 1686408