Vifo vya vigogo vyaacha Simanzi

Hapo naona mnavyofurahi wapuuzi nyie
 
Wwe unataka hatua gani zichukuliwe na Viongozi wako!?

Mbona yameshasemwa mno wewe hujui?

Kwa maana kumbukumbu zako zaonyesha walakini, nakupa sasa moja tu ili usisahau tena:

A waachie wataalamu wa afya uongozi wa vita dhidi ya gonjwa hili. Are we asking for too much?

We can't breathe!
 
Eti kagonjwa kadogo! Sasa kama ni kagonjwa kadogo mbona kaikimbia Dodoma?
Maisha ya rais na yetu ni tofauti,angekuwa nae anapanda madaladala au kupishana na misongamano ya watu huko kama sisi basi tusingesema kweli amekimbia maambukizi.

Sasa haya madai ya kukimbia hata siyaelewi ukizingatia huko alipo sio kisiwa nako na pia wala hata barakoa havai na anashikana tu na watu mikono kama kawaida.
 
Swali la msingi CORONA ya TANZANIA inaambukiza au HAIAMBUKIZI?
 

Lini chato imekuwa ni Ikulu nyingine? Endelea kutoelewa lakini siku ukitia akili kichwani utaelewa tu. Waliomtangulia wote hawakufanya huu upuuzi unaoendelea sasa.

 
Nyomi za mikutano ya kampeni zilikuwa zinashindanishwa kati ya Magufuli na Lissu bila kujali corona,ila leo tunaambizana kurudi kwa corona halafu lawama anazipata Magufuli na serikali yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…