Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Ile shuøe ilikuwa fujo sana. Primary school na O level kwenye jengo moja
Mtu msomi ni mwanazuo aka scholar. Msomi ni Mtaalam kwenye nyanja au fani maalum.

Na ili uwe msomi unatakiwa utumie nguvu za ziada katika kujijenga

Nakumbuka enzi za JPM nawapigia Tanesco nina shida na umeme nyumbani, walikuja na lori lenye winch na staff 4 au 5 tena wanawasiliana na mimi baada ya kupiga simu ya malalamiko. Fastaa!! Tukubaki mambo yamebadilika sana tena sana leo hii.
Ile shule ilikuwa fujo sana. Primary na O level jengo moja. Mna share facilities kama vyoo, geti moja etc
 
Tena uzi wa mshana jr tuliichsngia sana,maana maeneo yale pia tunayamudu
Watu wanakuwa na hasira tu bila msingi wowote

Ova
 

Adelide alikuwa my age, Judy alikuwa mkubwa. Nyumba yao was opposite to tuliyokuwa tunaishi
 

Oysterbay primary ulikuwa class of? Mimi 1984 nilikuwa class 4 nakumbuka ndio tumehamia shule mpya kutoka kwetu Machame[emoji23][emoji23] aisee bonge moja la transform miaka hiyo
 
Enzi za muvi ya Kid n Play, House Party
Boyz and the Hood
New Jack city

Nakumbuka niliazimwa casseti ya redio ya NWA albam ya Niggaz4Life nikarikodi, redio ikala mkanda, mshkaji alinimaidi sana, ilikuwa original cassete ametumiwa kutoka US
Zile movies siku za awali mshua alikuwa anaziangalia kwanza yeye kabla ya kuzipitisha kwamba zinafaa kuangaliwa na sisi.

Kuna nyingine alikuwa anazirudisha.

Nakumbuka movies za Charles Bronson za Death Wish alizikataa.

Mpaka baadaye naona alichoka mwenyewe.
 
Ungekuwa live uneshachezea makonzi we dogo, kupost ujinga Kama huu usirudie Tena[emoji35]
 
Waliokaa pembeni ya Oysterbay Primary ni akina Bakirane, sio bakilana. Akina Bakilana walikaa kule karibu na lilipoanzia daraja la Tanzanite.

Kwa kina Bakirane walikua wanafuga Ng'ombe pale kwao na ile Isuzu KB double cabin tulienda nayo sana kuchukua majani shamba.

Enzi hizo huwezi ishi au pita pita mitaa ile usiwajie akina Kafipa, Apson, Kejo, Kitomari, Mtui, Cathless, Faraji, Kamuzora, Warioba, Mengi, Kihampa, Ngamilo, Ngalawa, Malecela, Bakilana, Bakirane, Ligate, Usungu, Mtui, Kotta, Mpembe, Maliti, Ntukamazina, Mahiga, na wengineo, akina Malocho na Mang'enya waliishi Chole road huko na Akina Typhon Maji. Majina ni mengi sana ngoja niachie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…