Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Pia wazungumzie na vijana waliokufa ktm miaka hiyo wanaotokea maeneo ya Mbagala Kiburugwa, Manzese, Tandika, kwa Mparange, Mabibo, Tabata dampo, Chanika, Mvuti na maeneo mengine ya uswahilini.
Mkuu enzi hizo za miaka ya 80 mvuti na chanika siyo mapori makubwa kweli?
 
Niko pande zako napuyanga
Mtaa wa urambo
Kiranga

Ova
 

Attachments

  • 20230906_175215.jpg
    20230906_175215.jpg
    1.1 MB · Views: 3
Mkuu bigbup kwa kuwakilisha sehemu uliyotokea bila kuweka chuki kwa wengine.

Hata Mshana Jr nakumbuka alianzisha uzi wa mitaa ya Mwananyamala. Mimi nikawa msomaji tu kwa sababu uzoefu wangu mitaa hiyo ni mdogo.

Wala sikuusema vibaya uzi wa watu kufurahia kumbukumbu za kwao walipokulia.

Ndivyo inavyotakiwa hivyo.
Huu uzi mzuri sana, umenikumbusha na ule wa Mshana Jr wa Mwananyamala, nadhani toka nijiunge JF hakuna uzi nimewahi kucheka kama ule aisee.
 
Back
Top Bottom