Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,578
- 1,894
Wada kama kina mrangi wananikumbusha jamaa mmoja tuliishi nae sinza aliitwa KASITU ZUMBA/ SEVERIN ZUMBA yeye hakuwa wa kishua kwao ila ni mtu wa kujichanganya na watoto wa kishua hatarree mara leo upanga, masaki, oysterbay,mikocheni Kampani moja na BOSCO MAKUNDI, VICENT KIHAMPA [emoji23][emoji23][emoji23]