Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Etiene hotel ------ kwanini vijana wa oysterbay wakafie Upanga?, mbona oysterbay kulikuwa na hotel nyingi tuuuuu
Ilikuwa hivi , miaka ya ealry 80s wazazi wa Obaya wazazi walikua very strict , kulikua hakuwezi ruhusu siwa party zozote za vijana kufanyika unsupervised na wazazi , kama ni party lazima wazazi wa husike na hata kwenda Club aka Disco ilikua inachukuliwa kama uhuni mkubwa na walio kuwa wanakwenda kipindi hicho lazima watoroke kwao usiku bila wazazi kujua .
Sasa kilicho fanyika in Upandga nadhani wazazi wa huko hawakua strict ,hivyo kukawa kuna fanyika party za vijana , yani party ambazo hakuna mziazi yoyote anaye kuwepo ni vijana wana andaa wenyewe na zina fanyika kwnye summit za maghorofa ya upanga ,Inawezekana wazazi walikua hawaju nani anafanya hizo party huko juu .
Kipindi hicho kulikua na bifu kati ya vijana wa Obay na Vijana wa Oysterbay/Masaki , mademuw a Upanga walikuwa waki wakubali vijana wa Obay/Masaki , kupelekea vijana wa huko na bifu kubwa, hatujui nini kilitokea mpaka Macatta aka uwawa, ila inasemekana alirushwa Ghorofani , wengine wana sema hakurushwa ila wali mshika miguu wakaanza mburuza toka juu ya ghorofa kwenye ngazi huku akijigonga kisogo kwnye ngazi na kumuacha hapo chini bila wao kujua kwamba wame mpa majereha makubwa kwenye brain. so mpaka sasa hatujui case ilikuaje .
 
Nashukuru kwa hilo , lol
Ngoja tuingie St Peters hapa
Tukapate mtori kwa mzee marealle
[emoji1]

Ova
20230707_110352.jpg
20230707_110637.jpg
 
nilikuwa na flow patois live over dancehall beats.
After long deliberation with my memory
Nimeaanza kukumbuka lile gitaa la maskani, halafu kuna msomi mmoja, very neat, alikuwa ana flow sana patois kwa tunes za Emma 🤣🤣
I hope I am close enough.....
 
Wewe codes zote unazo.

Nimerudi maskani nimekuta wamejenga ukuta.
Dah!
Last time nilipita 2006, bado ilikuwepo, lakini washkaji wengi walikuwa wameshama Upanga,
Na ile backyard yule mdosi alikuwa anaimaindi ajenge viflat, mara wakakuta lile debe 🤣 🤣 🤣 halafu polisi wakazidi mtaani.
Dah ! zamani sana,
Sijui kama kina BB na Bro, wazee wa Mahenge kama bado wapo pale, Na kina Tesha

Na ule upande mwingine wa kina Abby Spartan, Amosi, Buli, na Tambaza's, sijui kama kile kijji bado kipo?
 
Dah!
Last time nilipita 2006, bado ilikuwepo, lakini washkaji wengi walikuwa wameshama Upanga,
Na ile backyard yule mdosi alikuwa anaimaindi ajenge viflat, mara wakakuta lile debe [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] halafu polisi wakazidi mtaani.
Dah ! zamani sana,
Sijui kama kina BB na Bro, wazee wa Mahenge kama bado wapo pale, Na kina Tesha

Na ule upande mwingine wa kina Abby Spartan, Amosi, Buli, na Tambaza's, sijui kama kile kijji bado kipo?
Dah, watu wamehama sana.

Ila wale kina Tambaza wakihamishwa pale itakuwa noma sana. Wale jamaa Dar nzima kipande cha Upanga mpaka mjini ilikuwa yao.

Ally alikuwa mshkaji sana, kwenye concerts yeye ndiye alikuwa anawapanga watoto wa Upanga wote kwenda kutia hype.
 
Ilikuwa hivi , miaka ya ealry 80s wazazi wa Obaya wazazi walikua very strict , kulikua hakuwezi ruhusu siwa party zozote za vijana kufanyika unsupervised na wazazi , kama ni party lazima wazazi wa husike na hata kwenda Club aka Disco ilikua inachukuliwa kama uhuni mkubwa na walio kuwa wanakwenda kipindi hicho lazima watoroke kwao usiku bila wazazi kujua .
Sasa kilicho fanyika in Upandga nadhani wazazi wa huko hawakua strict ,hivyo kukawa kuna fanyika party za vijana , yani party ambazo hakuna mziazi yoyote anaye kuwepo ni vijana wana andaa wenyewe na zina fanyika kwnye summit za maghorofa ya upanga ,Inawezekana wazazi walikua hawaju nani anafanya hizo party huko juu .
Kipindi hicho kulikua na bifu kati ya vijana wa Obay na Vijana wa Oysterbay/Masaki , mademuw a Upanga walikuwa waki wakubali vijana wa Obay/Masaki , kupelekea vijana wa huko na bifu kubwa, hatujui nini kilitokea mpaka Macatta aka uwawa, ila inasemekana alirushwa Ghorofani , wengine wana sema hakurushwa ila wali mshika miguu wakaanza mburuza toka juu ya ghorofa kwenye ngazi huku akijigonga kisogo kwnye ngazi na kumuacha hapo chini bila wao kujua kwamba wame mpa majereha makubwa kwenye brain. so mpaka sasa hatujui case ilikuaje .
Vipi Bay viller na kawe club na TAZARA club??????
 
Ninakumbuka jinaBay Villa , ila sikumbuki ilikua wapi , ni Msasani Peninsular ama wapi? Kawe Club nadhani labdailikau kipindi cha zile Beach Picnicks, ila nakumbuka nyingi zilikua Msasani Beach club , Tazara Club , pia nakumbuka jina , hivi ilikua ni Chang'ombe ama wapi ?
 
Vijana wa Upanga , kulikua na mademu wawili sisters walikuwa wanakaa hapo kwenye hizo Apartments karibu na Tambaza , watoto fulani hivi pisi kali kinoma , nime wasahau majina ,mmoja ilikua nina mmind kinoma, ila domo zege tatizo , wako wapi wale cuties?
 
Back
Top Bottom