Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

Cha kuchekesha mimi ndio nime geuka kama huyo mzee, madogo wakija na mtu simuelewi , napiga maswali kama wako Immigration , lazima ni jue ni nani ,a a kaa wapi ,ana fanya nini, baba yake ni nani ana yuko toka familia ya aina gani . huwa wanakoma nadhani wana hadithiana uko huyu mzee mnoko , lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnafurahisha sana
 
Viwanja vyangu vyote hivyo.

I was out and about.

Maandazi Road ndiyo mama akikuita ukisikia tu "mtoto wangu mzuri..." unajua hii safari ya maandazi road inafuata hapa.

Unalitafuta Toyota Stout la TZA enzi hizo ulichanganye mafuta.

Haile Selassie ndiyo kuanzia St. Peters mpaka IST na Coco Beach, parties za mabalozi na kwa Warioba kama zote.

Mpaka nyingine siwezi kusema hapa. RIP Baba T for lifting me up in the compound.

Kilima nyege hapo nashuka kwenda kwa Bibi Masaki meeting up with my Geneva cousins to catch up, I make a left tMsasani Road nafikiri hapo, to the Bakilanas, na ubalozi wa Ireland huko, nyumba ya Mzee Bakilana ndiyo ipo mwisho wa Mzinga Way, tunatoka parties za alipokaa Mtei tunahamia kwa paries za Bakilana, tunakwenda kupita kwenye kilimanyege chenyewe. Tunaamua, tuende parties za Mzee Malocho, IST, Coco beach, za kwa Marcel Komanya au za balozi Mahiga? Parties za posta au za bandari?

Au tunarudi Msasani Road kwa Ronald Mutie Mengi na kulianzisha Oysterbay Hotel huko na ufirauni wa Abbas Mwinyi?

Leo nimeamua tu kuepuka kikombe hiki, nikitaja mengi sana kuna wasiojulikana watanijua mpaka jina.
Nadhani Baba T ndio yule rasta, mpaka Fid Q alimtaja kwenye Mwanza Mwanza "Rasta kama baba T". Apumzike kwa amani
 
Niombee na mimi bibi allah anizime moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maana huu wangu wa petrol bora wako ulikuwa wa kifuu bibi
In Shaa Allah itakuwa wepesi mradi nia ipo.

Nakushauri usiache salat tano. Ni muhimu sana kwa maisha yetu ya kila siku.

Ukweli wa kushangaza kuhusu Salah na kwa nini Salah ni muhimu​

Kila Muislam anapaswa kujua umuhimu wa salah na ana wajibu wa kufanya salah mara tano kwa siku, bila kujali jinsia yako, kabila, au hadhi ya kijamii. Watu kutoka duniani kote hufanya salah kulingana na madhabs tofauti, lakini wote kwa lengo moja, lengo moja - kumwabudu Allah Mwenyezi na kutimiza wajibu wao kama Muislam.
Hata hivyo, pia kuna baadhi ya Waislam huko nje ambao hawajali umuhimu wa salah, na ni wajibu wetu kuwakumbusha umuhim wake. Mara tu unapojua umuhimu wa sala na athari zake katika maisha yako ya kila siku, ustawi wako kamili, basi utaweza kuishi maisha yako kwa uwezo wake kamili kama Muislam!

Maana ya Salah:

Salah ni nguzo ya pili ya Uislam, baada ya kukaririwa kiapo kinachojulikana kama Shahadah. Ni kitendo cha kutoa maombi kwa Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu. Kwa kweli imetafsiriwa, salah inaweza kumaanisha sala au dua na kwa ujumla inachukuliwa kuwa kitendo cha kumwabudu Allah Mwenyezi; Kitendo ambacho kinatajwa hasa katika sehemu nyingi za Qur'an Tukufu.
Kwa mujibu wa Shari'ah ya Kiislam, Salah maana yake ni mchanganyiko wa misemo na vitendo maalum vinavyoanza na takbir na kuhitimisha na taslim. Iliitwa hivyo kwa sababu inajumuisha maombi, ambayo inamaanisha dua. Wajibu maalum wa Salah unapewa mara tano kwa kila siku na usiku. Inachukuliwa kuwa kitendo cha msingi na kinachojulikana cha ibada katika ibada ya Kiislamu ambayo inamaanisha mtu anayeikana atakuwa Kafir. Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم ndiye Mtume pekee aliyepokea sala tano za kila siku kama zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenyezi. Hii inaonyesha umuhimu wa Salah tunapaswa kutambua.
Historia fupi ya Salah:

Ukipenda niendelee na darsa la salat nijulishe.
 
Amina[emoji120] bibi

Endelea na darasa
 
Jamani pisi kali za obey enzi hizo mbona hazitemi madini? Au wengi now wanalea wajukuu?

Maana naona ni kina babu tu wanachangia hapa kina bibi wapo wapi?
Ngoja nianzishe Uzi wa Pisi kali moja famous Tanzania nzima kwa wahenga wote hadi wazazi wetu ila ni wachache sana walijua ilikuwa ni kutoka Oysterbay.
 
Actually amelelewa mitaa ya drive in. Ni karibu na O bay tu. Atayajuwa hayo....
Siku wahi mjua vizui , ila nilisikai ni Bro wa kina Edwin and Isac Kasanga ( sijui kama kweli ) na Kassanga waliishi hapo Drive Inn kabla ya kuhamia Mikocheni so na hisi ndio kwlei alikulia hapo
 
Back
Top Bottom