Ilikuwa hivi , miaka ya ealry 80s wazazi wa Obaya wazazi walikua very strict , kulikua hakuwezi ruhusu siwa party zozote za vijana kufanyika unsupervised na wazazi , kama ni party lazima wazazi wa husike na hata kwenda Club aka Disco ilikua inachukuliwa kama uhuni mkubwa na walio kuwa wanakwenda kipindi hicho lazima watoroke kwao usiku bila wazazi kujua .
Sasa kilicho fanyika in Upandga nadhani wazazi wa huko hawakua strict ,hivyo kukawa kuna fanyika party za vijana , yani party ambazo hakuna mziazi yoyote anaye kuwepo ni vijana wana andaa wenyewe na zina fanyika kwnye summit za maghorofa ya upanga ,Inawezekana wazazi walikua hawaju nani anafanya hizo party huko juu .
Kipindi hicho kulikua na bifu kati ya vijana wa Obay na Vijana wa Oysterbay/Masaki , mademuw a Upanga walikuwa waki wakubali vijana wa Obay/Masaki , kupelekea vijana wa huko na bifu kubwa, hatujui nini kilitokea mpaka Macatta aka uwawa, ila inasemekana alirushwa Ghorofani , wengine wana sema hakurushwa ila wali mshika miguu wakaanza mburuza toka juu ya ghorofa kwenye ngazi huku akijigonga kisogo kwnye ngazi na kumuacha hapo chini bila wao kujua kwamba wame mpa majereha makubwa kwenye brain. so mpaka sasa hatujui case ilikuaje .