Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Maandazi Road huku mwisho karibu na njia ya kwenda Mkirikiti Bar kulikuwa na maskani inaitwa Lebanon.Umesahau story za Msasani ukikatisha unatembe ukitetemeka , sasa sijui tulitetemeka nini wakati huo ahata kukabwa au kuporwa kulikua hakuna au lada nime sahau
Ile maskani ukikatiza lazima ujihakikishe uko gado unajistukia mara mbilimbili maana pale masela wanaokaa si wa kawaida, kuna mateja na kila mazaga pale hawakawii kukuvua raba mtoni wakasepa.