mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
You are very wise man! Ifike wakati mtu akiishi maisha yake hii mentality ya kumuita fisadi iishe. Haipendezi.!Hapana baba zetu waliishi kipindi cha utiifu wa Nyerere ufisadi ulikua ni kwa kiwango cha chini sana.
Mkuu enzi hizo za miaka ya 80 mvuti na chanika siyo mapori makubwa kweli?Pia wazungumzie na vijana waliokufa ktm miaka hiyo wanaotokea maeneo ya Mbagala Kiburugwa, Manzese, Tandika, kwa Mparange, Mabibo, Tabata dampo, Chanika, Mvuti na maeneo mengine ya uswahilini.
Asante sanaYou are very wise man! Ifike wakati mtu akiishi maisha yake hii mentality ya kumuita fisadi iishe. Haipendezi.!
Shukurani sana kunikumbusha nitaa mkuu.
Ttuloo zaliwa mbagala rangi tatu tucomment wapi
Huu uzi mzuri sana, umenikumbusha na ule wa Mshana Jr wa Mwananyamala, nadhani toka nijiunge JF hakuna uzi nimewahi kucheka kama ule aisee.Mkuu bigbup kwa kuwakilisha sehemu uliyotokea bila kuweka chuki kwa wengine.
Hata Mshana Jr nakumbuka alianzisha uzi wa mitaa ya Mwananyamala. Mimi nikawa msomaji tu kwa sababu uzoefu wangu mitaa hiyo ni mdogo.
Wala sikuusema vibaya uzi wa watu kufurahia kumbukumbu za kwao walipokulia.
Ndivyo inavyotakiwa hivyo.