MEKADDISHKEM
Senior Member
- Sep 15, 2016
- 153
- 151
Safari za nje ya nchi kufungwa tutegemee kupoteza watu mashuhuri wengi, kwani wengi wao walikuwa wakitegemea kliniki za nje ya nchi, sipati picha kama kipindi hichi Mbunge Tundu Lissu, angepata matatizo muda huu tungempoteza.
Wangonjwa wa Pumu sasa wanakufa kwa kukosa msaada zamani akianguka kwa kukosa hewa na pumzi inabana watu wanajua ni Asthma, Pumu wata search kwenye mkoba wake au begi na kuchukua inhaler yake ili avute, sasa tunashuhudia wakianguka na kukosa msaada watu wakiogopa Corona.
Hata ma hospitali mgonjwa wa Pumu akienda wanamuogopa mwisho wa siku anapoteza maisha.
Serikali iboreshe huduma za afya nyumbani kwani sasa hamna cha India wala South Africa.