TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,767
- 20,869
Mna elimu ndogo ya corona.
Jamani corona haiui yenyewe kama una magonjwa yako mengine corona ndo inakusindikiza..
Ndo maana kuna watu wanaumwa corona lakini hawaonyeshi dalili zozote na wanadunda.
Mpaka mtu awe hoi kweli kweli ujue alikuwa na magonjwa mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa hali halisi ya hizi nchi zetu, ni nani ambaye hana magonjwa mengine? Mfano tuanzie kwa viongozi wetu wa ngazi za juu na watu mashuhuri, ni nani ambae hana presha, kisukari, uzito uliozidi, matatizo ya moyo, figo, ngoma, cancer, nk?
Haya, ukija kwa watu wa kawaida magonjwa kama malaria, TB, athma, ukimwi, na mengine mengi ni ya kawaida kabisa kwetu.
Hii inamaanisha corona itatuua wote maana wote tuna magonjwa mengine mengi tuu