Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Mzee wa wiki ya kilele cha Corona!Tuombe corona ipite
Mzee wa wiki ya kilele cha Corona!Tuombe corona ipite
Wewe si ulisema rais ameshatuvusha kwenye janga la corona?Tuombe corona ipite
yeah yeah yeah walikuwa wanatuona wapuuzi sanaa wao njeee kujiweka sawa. sasa hospital zile zile leo ndo zinawapokea na kuwaweka mortuary.Safari za nje ya nchi kufungwa tutegemee kupoteza watu mashuhuri wengi, kwani wengi wao walikuwa wakitegemea kliniki za nje ya nchi, sipati picha kama kipindi hichi mbunge Tundu Lissu, angepata matitizo muda huu tungempoteza.
Wangonjwa wa pumu sasa wanakufa kwa kukosa msaada zamani akiianguka kwa kukosa hewa na pumzi inabana watu wanajua ni asthma, pumu wata search kwenye mkoba wake au begi na kuchukua inhaler yake ili avute, sasa tunashuhudia wakianguka na kukosa msaada watu wakiogopa corona.
Hata ma hospitali mgonjwa wa pumu akienda wanamuogopa mwisho wa siku anapoteza maisha.
Serikali iboreshe huduma za afya nyumbani kwani sasa hamna cha India wala south Africa.
na imekaa dodoma pale mjengoni inakula vichwa tuIpite iende wapi tena na wakati imeshafika nyumbani!
unaweza kuijua na bado mwili uko weak kupambana nayo mkuu inakukula kichwaCorona ina siri moja , ukiijua umeshinda: Corona haitaki upumbavu, chukua hatua sahihi, sio upumbavu
mapema tu mahiga kakubali yaishekuna Mwingne karudisha jezi tena kuachana na yule wa jana?
Rejea andiko lako la Magufuli ametuvusha kwa 100%,,,Tuombe corona ipite
amemaanisha ``kuokota``...
HuuSafari za nje ya nchi kufungwa tutegemee kupoteza watu mashuhuri wengi, kwani wengi wao walikuwa wakitegemea kliniki za nje ya nchi, sipati picha kama kipindi hichi mbunge Tundu Lissu, angepata matitizo muda huu tungempoteza.
Wangonjwa wa pumu sasa wanakufa kwa kukosa msaada zamani akiianguka kwa kukosa hewa na pumzi inabana watu wanajua ni asthma, pumu wata search kwenye mkoba wake au begi na kuchukua inhaler yake ili avute, sasa tunashuhudia wakianguka na kukosa msaada watu wakiogopa corona.
Hata ma hospitali mgonjwa wa pumu akienda wanamuogopa mwisho wa siku anapoteza maisha.
Serikali iboreshe huduma za afya nyumbani kwani sasa hamna cha India wala south Africa.
😐unaongelea kifo huku unacheka😄😄 kifo ni unkwepabo jmn me sion tatz
Wazungu waliokufa kama kuku wa kideri walikuwa wapumbavu kuliko sisi?Corona ina siri moja , ukiijua umeshinda: Corona haitaki upumbavu, chukua hatua sahihi, sio upumbavu
Huku tukiendelea kutembeleana, kukutana sokoni, stand za mabasi.Ipo kwenye pick soon tutarudi ktk hali ya kawaida
Toka tarehe kumi na nne mwezi was nne unasema ipo kwenye peak.Ipo kwenye pick soon tutarudi ktk hali ya kawaida