Vifo vya watu mashuhuri Tanzania, chanzo ni huduma mbovu za afya


Hivi kwa hali halisi ya hizi nchi zetu, ni nani ambaye hana magonjwa mengine? Mfano tuanzie kwa viongozi wetu wa ngazi za juu na watu mashuhuri, ni nani ambae hana presha, kisukari, uzito uliozidi, matatizo ya moyo, figo, ngoma, cancer, nk?
Haya, ukija kwa watu wa kawaida magonjwa kama malaria, TB, athma, ukimwi, na mengine mengi ni ya kawaida kabisa kwetu.
Hii inamaanisha corona itatuua wote maana wote tuna magonjwa mengine mengi tuu
 
Na tuendelee kutibiwa nao hapa hapa nchini.........
 
Hii inaitwa "equalizer".Ni hapa hapa tu.Yule wa dola 12m. ana bahati sana,historia ingemhusu zamaani.
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
kama imefika siku yako imefika tu hata wakienda kutibiwa mbingun wakarudishwa ni bure lakin kwan tatizo ikwapi si wanakufa tu kama watu wengine kila nafsi itaonja mauti wapumzike kwa amani ila wasiende kutushikia sit huko
 
Basi ndo hvyo wajiandae kupitia.
Kila nafsi itaonja umauti
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaitwa "equalizer".Ni hapa hapa tu.Yule wa dola 12m. ana bahati sana,historia ingemhusu zamaani.
πŸ˜„πŸ˜„ kifo ni unkwepabo jmn me sion tatz
 
Watu wanajitapa wamejenga hospitali... Hospitali siyo majengo...

Madaktari wanakimbia wagonjwa huko mahospitalini. Hali ni mbaya.

Huu mwezi tulioanza leo mpaka ukaishe watu wengi watakuwa wamejifunza in a hard way kutoshabikia ujinga.
 
Ipo kwenye pick soon tutarudi ktk hali ya kawaida

Kwa hali ya sasa ni vigumu sana sisi kujua corona itafika lini kwenye peak maana tumeachia maambukizi yaenee kila mahali. Nchi zinazo control maambukizi ndio wanaweza kusema sasa tuko kwenye "pick" maana wanaona trend ya maambukizi inavyokwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…