Vifo vya watu mashuhuri Tanzania, chanzo ni huduma mbovu za afya

yeah yeah yeah walikuwa wanatuona wapuuzi sanaa wao njeee kujiweka sawa. sasa hospital zile zile leo ndo zinawapokea na kuwaweka mortuary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi USA si ndio hii Amerika au marekani?
Wamekufa wangapi ?

Miundombinu yao ya afya ikoje?

Britain au UK si ndio hii oingereza?
Wanakufa wangapi huko?
Miundombinu yao ya afya ikoje?

Acheni majungu na ufitinishi usio na tija kwa taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu
 
Mbunge mchingaji
Dc Mtwara
Mkurugenzi uhamiaji Kagera
Mbunge mwanza
Waziri
Diwani Morogoro

Wale waliostahafu

Mbunge mafia
Mbunge Vunjo
Jaji mkuu
Majaji 2 wastahafu

Wengine

Kaka wa Lowasa
Mkurugenzi wa jiji Dar

Wengine malizia
.
.
.
.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona ina siri moja , ukiijua umeshinda: Corona haitaki upumbavu, chukua hatua sahihi, sio upumbavu
Wazungu waliokufa kama kuku wa kideri walikuwa wapumbavu kuliko sisi?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Huko India na south African ndio wanaongoza kwa kufa na corona ina maana huduma zao ni dhaifu kuliko zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…