INAUZWA Vifuatavyo vinauzwa, mmiliki anahamia nchi nyingine

ntakisigae

Senior Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
186
Reaction score
66
Mgeni kutoka Ubelgiji amevitumia chini ya miezi miwili na anaviuza kwasababu anahamia nchi nyingine.
1.Shelfu ya chuma- tsh100,000/=
2.Meza ya chuma ya jikoni-100,000/=
3.Mtungi wenye gesi kilo15(oryx)-100,000/=
4.Rice cooker (west point)-120,000/=
5.Mapazia6 na miti yake-80,000/=
6.Jiko la gesi (Ailyons)-120,000/=
7.Feni(High class)-70000/=
8.Kitanda(6*6) cha miti mgumu-600,000/=
9.Godoro(6*6) Tanfom-330,000/=
Maelewano yapo/punguzo kwa atakayechukua vitu kadhaa.Siku ya mwisho ni Alhamisi(27/01/2022)

Vitu vipo Kitunda,Kinyantira,kituo:Fundi Baiskeli-Dar es Salaam
Mawasiliano:0685381338

Muhimu:Mimi sio Dalali, ni mfanikishaji tu.







 
Duuh! Huyo mzungu alikuwa hafanyi usafi ndani? Naona chupa za pepsi chini, meza ya jikoni ni vurugu tu.

Mwambie apunguze njaa, vitu havifikishi hata 3m anaviuzaje? Mwambie aviache kwa mwenye nyumba
Mzungu anauza hadi pazia πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Sana sana kama mzungu kweli alikua ana gari ndio atapiga bei vitu vya ndan wengi wanawachia wafanyakazi wa ndani
 
Mwambie mzungu huyo akuachie vitu hivyo.
 
Hakuna mzungu anayeishi Kinyatira Kitunda. Hayo maeneo balozi yoyote ya nchi za Ulaya haiwezi kuruhusu raia wake kuishi. Huko ni kwa wakurya tu hata mpemba hawezi ishi
 
Kwa jinsi navyopajua kitunda kinyatira. Ni ngumu sana kwa mzungu kuishi kwa zama hizi. Labda huyo mzungu awe mpelelezi kama carl peter

Mzanzibar tu ama mtu wa Tanga kuishi kinyantira hawezi sembuse mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…