Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 852
- 1,081
Mzungu koko..Acha njaa sema wewe ndio unauza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzungu alikuwa anakaa Kitunda, Kinyantira ana makolokolo kibao kama mzaramo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa jinsi navyopajua kitunda kinyatira. Ni ngumu sana kwa mzungu kuishi kwa zama hizi. Labda huyo mzungu awe mpelelezi kama carl peter
Mzanzibar tu ama mtu wa Tanga kuishi kinyantira hawezi sembuse mzungu
Mgeni kutoka Ubelgiji amevitumia chini ya miezi miwili na anaviuza kwasababu anahamia nchi nyingine.
1.Shelfu ya chuma- tsh100,000/=
2.Meza ya chuma ya jikoni-100,000/=
3.Mtungi wenye gesi kilo15(oryx)-100,000/=
4.Rice cooker (west point)-120,000/=
5.Mapazia6 na miti yake-80,000/=
6.Jiko la gesi (Ailyons)-120,000/=
7.Feni(High class)-70000/=
8.Kitanda(6*6) cha miti mgumu-600,000/=
9.Godoro(6*6) Tanfom-330,000/=
Maelewano yapo/punguzo kwa atakayechukua vitu kadhaa.Siku ya mwisho ni Alhamisi(27/01/2022)
Vitu vipo Kitunda,Kinyantira,kituo:Fundi Baiskeli-Dar es Salaam
Mawasiliano:0685381338
Muhimu:Mimi sio Dalali, ni mfanikishaji tu.
View attachment 2096362
View attachment 2096363
View attachment 2096364
View attachment 2096365
View attachment 2096366
View attachment 2096367
View attachment 2096369
[emoji38]weka title: mzungu mwehu anauza makolokolo yake
Mkuu kwa bei hizo unachekesha sanaaa, mtungi was oryx ukiwa full (mpya) in sh.90k wewe unauza 100kMgeni kutoka Ubelgiji amevitumia chini ya miezi miwili na anaviuza kwasababu anahamia nchi nyingine.
1.Shelfu ya chuma- tsh100,000/=
2.Meza ya chuma ya jikoni-100,000/=
3.Mtungi wenye gesi kilo15(oryx)-100,000/=
4.Rice cooker (west point)-120,000/=
5.Mapazia6 na miti yake-80,000/=
6.Jiko la gesi (Ailyons)-120,000/=
7.Feni(High class)-70000/=
8.Kitanda(6*6) cha miti mgumu-600,000/=
9.Godoro(6*6) Tanfom-330,000/=
Maelewano yapo/punguzo kwa atakayechukua vitu kadhaa.Siku ya mwisho ni Alhamisi(27/01/2022)
Vitu vipo Kitunda,Kinyantira,kituo:Fundi Baiskeli-Dar es Salaam
Mawasiliano:0685381338
Muhimu:Mimi sio Dalali, ni mfanikishaji tu.
View attachment 2096362
View attachment 2096363
View attachment 2096364
View attachment 2096365
View attachment 2096366
View attachment 2096367
View attachment 2096369
Nayeye mleta mada alikuwa na haja gani ya kutaja Mzungu?hilo lilikuwa halituhusu kwanini asiseme tu vitu vinauzwa,mambo mengine ni kujitakia tu,au huenda alikuwa na lengo lake si unaona hata bei zake ni juu,alijua akisema Mzungu katumia watu watajua labda ni OG,sasa wakakutana na mtungi wa gesi unauzwa Laki.Ila sisi wabongo tuna matatizo Sana.
Tunaacha issue ya muhimu ambayo ni biashara tunajadili yasiyotuhusu.
Watu wamekomaa as if uyo mzungu yeye sio binadamu? Kama mbogo anaweza kuishi uko kitunda why mzungu asiweze kuishi wakati wote sisi ni binadamu.
😂😂😂😂😂😂Vitu vingine watoa mada wanapenda tu kujadiliwa bure..😂😂😂
Niliwahi kwenda Kitunda mara moja na nilihapa sitokaa niishi uko. Kwanza nilienda na vipanya alafu watu wote kwenye gari ni washamba na uncivilized, kelele kibao na uswahili mwingi. Nilichokuwa naenda kununua nikakuta ni feki nikarudi zangu nikaenda kipata kwa muuzaji mwingine mjini.Hakuna mzungu anayeishi Kinyatira Kitunda. Hayo maeneo balozi yoyote ya nchi za Ulaya haiwezi kuruhusu raia wake kuishi. Huko ni kwa wakurya tu hata mpemba hawezi ishi