INAUZWA Vifuatavyo vinauzwa, mmiliki anahamia nchi nyingine

Ila sisi wabongo tuna matatizo Sana.

Tunaacha issue ya muhimu ambayo ni biashara tunajadili yasiyotuhusu.

Watu wamekomaa as if uyo mzungu yeye sio binadamu? Kama mbogo anaweza kuishi uko kitunda why mzungu asiweze kuishi wakati wote sisi ni binadamu.
 
Kwa jinsi navyopajua kitunda kinyatira. Ni ngumu sana kwa mzungu kuishi kwa zama hizi. Labda huyo mzungu awe mpelelezi kama carl peter

Mzanzibar tu ama mtu wa Tanga kuishi kinyantira hawezi sembuse mzungu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Hivi Manzese haipo Tanzania? Maana mtu Kama anatoka Mburahati kuja Manzese ana Hama nchi kweli?
 
Wakuu kumbe hamjamwelewa mleta mada. Huyu mgeni katoka ubelgiji na matakataka so kaja kutafuta nauli ya kuhamia nchi nyingine.
Soma vizuri utaelewa nacho maanisha
 
Mkuu kwa bei hizo unachekesha sanaaa, mtungi was oryx ukiwa full (mpya) in sh.90k wewe unauza 100k

Rice cooker inauzwa 65000 wewe unauza 120000, hapo utasuburi sanaaa
 
Huyo mzungu alikuwa hana hata demu wa kukata kiu.
Amwachia hayo mazaga ambayo yapo chini ya 1M.
 
Hiyo bei ya kila bidhaa uliyoweka hapo, ni mara mbili ya bei halisi ya kuuzia! Maana ni vitu used! Hivyo nakushauri kama vipi mwambie tu huyo muuzaji aende navyo huko Ulaya!

Sidhani kama kuna mtu na akili zake timamu, atanunua hivyo vitu kwa bei ya kulangua kiasi hicho. Yaani umelijambia na kulikojolea godoro lako kwa miaka chungu nzima, halafu nilinunue kwa laki 3 na 30!!!!
 
Nayeye mleta mada alikuwa na haja gani ya kutaja Mzungu?hilo lilikuwa halituhusu kwanini asiseme tu vitu vinauzwa,mambo mengine ni kujitakia tu,au huenda alikuwa na lengo lake si unaona hata bei zake ni juu,alijua akisema Mzungu katumia watu watajua labda ni OG,sasa wakakutana na mtungi wa gesi unauzwa Laki.
 
Saingine chanzo cha ban ni mada kama hii ulioletaπŸ˜… hamna mzungu Expatriate anakaaga kitunda!

Uelekeo ni Masaki ama Oysterbay siku zote akifeli sana ataishia Kawe au Mbezi beach. Huko ndiko kuna maeneo ambayo walau yanafanana na alipotoka.

Hizo bidhaa sema ulipozitoa kama si zako ila usisingizie ni za mzungu expatriate.
 
Hakuna mzungu anayeishi Kinyatira Kitunda. Hayo maeneo balozi yoyote ya nchi za Ulaya haiwezi kuruhusu raia wake kuishi. Huko ni kwa wakurya tu hata mpemba hawezi ishi
Niliwahi kwenda Kitunda mara moja na nilihapa sitokaa niishi uko. Kwanza nilienda na vipanya alafu watu wote kwenye gari ni washamba na uncivilized, kelele kibao na uswahili mwingi. Nilichokuwa naenda kununua nikakuta ni feki nikarudi zangu nikaenda kipata kwa muuzaji mwingine mjini.
Kitunda kuna vumbi na kila kona kuna dalili za kuku. Either vibanda, mayai, vyakula, baiskeli za wabebaji. Yani fujo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…