INAUZWA Vifuatavyo vinauzwa, mmiliki anahamia nchi nyingine

Huyu ni mzungu kweli,mbona alikuwa rough sana
 
Mkuu bidhaa ni kama zipo overpriced !!!

Kuhusu wazungu inategemea sio wote wana Lamborghini

 
Hahaaaa, mkuu kwani kukoje
Hakuna mzungu anayeishi Kinyatira Kitunda. Hayo maeneo balozi yoyote ya nchi za Ulaya haiwezi kuruhusu raia wake kuishi. Huko ni kwa wakurya tu hata mpemba hawezi ishi
 
JF imeshakuwa jukwaa la machokoraa na mabwege .

Yaan mtu kapost thread kwa nia njema tu, ili wanaohitaji wamfuate, lkn kuna mapuuzi yanaibuka From nowhere,kuanza kumchallenge kijana wawatu, hiv hiyo ni akili?

Kuna wengine humu mnajiita mnaakili timamu na wenye heshima lkn haya muyaoneshayo humu, si jambo zuri, kama huvutiwi na biashara ya mtu, si utulie tu ukae kimya, mbna nyuzi nyingi tu unaweza chagua unayotaka kuisoma?

Acheni kuharibia biashara za watu jamani hiyo michezo ya kijinga sana.

JF nowadays imevamiwa na wahuni wengine watoto wasiojua Nini maana ya maisha.

Jiheshimuni
 
Kanunue ww!
 
Issue bidhaa ni za kawaida sana used halafu zipo overpriced kuliko bei ya dukani.

Hayo mawili tu yanastaajabisha halafu kuna hili la Mzungu ndio alikua anavitumia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Vitu bei kuliko dukani hahahahaha haya bana au dalali ndio kaweka chake cha juu?
 
Godoro kwa 100K tufanye biashara
 

Unadhani kwa nini muuzaji kataja mzungu?

Kama lengo ni kuuza vitu tu, si angetangaza vitu pekee pasipo kutaja asili ya mmliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…