INAUZWA Vifuatavyo vinauzwa, mmiliki anahamia nchi nyingine

Unadhani kwa nini muuzaji kataja mzungu?

Kama lengo ni kuuza vitu tu, si angetangaza vitu pekee pasipo kutaja asili ya mmliki
Kwann uwe m,bishi kutokuamini kama hivyo vitu vimetumiwa na mzungu?

Mtu anaishi kama tunavyishi sisi, kwani ngozi nyeupe Ina uspecial gani?

Basi tufanye sawa havijatumiwa na mzungu, umeshindwa kuuliza hata discount mnamshambulia jamaa kama sio mihemko ni Nini?

Mnajadili mtu badala ya ideas?
 

Kwenye biashara kuna kitu kinaitwa "credibility", sasa nitaanzaje kutaka discount kama nina wasiwasi na uaminifu wa muuzaji?...

Nia ya muuzaji kuandika vitu ni vya mzungu kwake muuzaji ndio alitaka ibebe uaminifu na pengine kutaka watu waamini umadhubuti wa vitu anavyouza...

Watu wanaokosea labda ni hao wanaokejeli kwa kuandika sijui mzungu wa Buza, au mzungu kuishi huko kulikotajwa..
 
Mbona sasa maswali ya wateja huyajibu ila umekuja kuwachamba!!
 
Nacheka na comments tu mimi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili jukwaa huwa linanipa raha sana, nimemekumbuka uzi mmoja nao ulikuwaga hivi hivi na mtoa mada akageuka kuwa comedian.
 
Una hoja lakini bado haishawishi hata.

Wasiwasi utoke wapi? Kuambiwa vitu ni vya mzungu ndo ukose kumuamini muuzaji kweli?
Vipi ikiwa itadhibitika kuwa ni vitu vya mzungu kweli Ina maana utaamuamini muuzaji na credibility utampa?

Na kwanini ushindwe kuamini kuwa hivyo vitu ni vya mzungu?

Tafsiri yako haswa ya mtu kuwa mzungu ni Nini?
 

Kwa yeye kutaja kwamba vitu ni vya mzungu, mantiki yake ni kwamba anaanza kujenga foundation ya ama umadhubuti, upya n.k (nia hii anaweza eleza vizuri muuzaji), ungelikuwa ni mwanasheria ungenielewa vizuri mkuu...

Ngoja tumwachie mwenye uzi wake afanye biashara, porojo zetu hazitasaidia kumpatia wateja...

Siku njema mkuu...
 
Kilichowauma watu sio Mzungu tatizo ni bei ya bidhaa kua kubwa halafu anasingiziwa Mzungu
 
Au mzungu ni wewe? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naomba picha ya shelf pm
 
Huyu Mzungu angejua kusoma hizi comments angeahirisha kuuza na kugawa bure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila sijaona aliposema MZUNGU..amesema mgeni kutoka ubelgiji..ambae kwa mtazamo wangu siyo lazima awe mzungu.
 
Duuh! Huyo mzungu alikuwa hafanyi usafi ndani? Naona chupa za pepsi chini, meza ya jikoni ni vurugu tu.

Mwambie apunguze njaa, vitu havifikishi hata 3m anaviuzaje? Mwambie aviache kwa mwenye nyumba
Weka picha ZA geto lako tuone.
100% haiwezi kuzidi hili
 
Mkuu wala uhitaji kuita watu majina yenye sifa mbaya..hicho unachoshangaa ndiyo u GT..ma thinkers wote wako au walionekana kama vichaa au mabwege. Jambo la kujifinza hapa ukitaka kupandisha Uzi ni lazima ujipange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…