BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Mimi naona nilivyojua kusoma na kuandika niishie hapa hapa, huko mbele ni kiza kitupu.Ni kichekesho cha mwaka mpya kifungashio nina nembo ya tbs lkn bidhaa ya ndani haina tbs...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona nilivyojua kusoma na kuandika niishie hapa hapa, huko mbele ni kiza kitupu.Ni kichekesho cha mwaka mpya kifungashio nina nembo ya tbs lkn bidhaa ya ndani haina tbs...
Ngoja mechi ya mpira iishe kwanza.Hiyo mnajua inasaidia nini ?
Ina affect bei ya hivyo vifunganishio ?
Tupewe elimu hapo
AiseeViko salama kama tunatumia na hatuzuliki.
But hii ya plastic was necessaryHuoni tunaelekea overregulations?
Wakati Bank zinakaribia Ku collpase..
Wafanyabiashara wanapigwa na new regulations juu??Huoni impact yake kiuchumi?
I canUnatenganisha vipi maamuzi ya taifa na siasa??? Wanaotengeneza na kupitisha regulations ni wakina nani?
But hii ya plastic was necessary
Mlianza majungu against nmb na shareholder wa Netherland, wamwwajibu Kwamba wapo with a new consortium
Sasa mnahamia huku
This country was very loose
Regulation ninmuhimu
Mbona siku hizi hata nyama.inachanjwa na mashine, tungesikiliza watu kama wewe tungekua wapi?
Chifu.... Just stop it
Standards are standards..... We are not animals
Nmb ina CEO mitanzania mwanamama... Unataka awe nani?Labda umeamua kuona kile unataka kuona
Facts zipo hadharani.. CEO wa NMB kanyimwa
Permit....
Mwekezaji WA nje wa Acb kauza hisa kasepa..
Now Acb wanaotaka kutoa milioni 50
Lazima waandike notice 24 hours kabla..
The whole banking industry iko na hofu
Baada ya freezing accounts practices na kadhalika...
Sasa kama hayo ndo majungu then weka wewe facts..
Hakuna anaesema plastics iachwe ..mbona walianza na mifuko na hakuna aliepinga.
Watu Wana complain Vague statement..
Na maelekezo yasiyo jitosheleza na amri na vitisho.. mbona Kwa mifuko walitoa deadline Lin iache kutumika?
Hii phase ya pili why ianze Tu January?
Umewaza ajira ngapi zitakua mashakani?
But hii ya plastic was necessary
Mlianza majungu against nmb na shareholder wa Netherland, wamwwajibu Kwamba wapo with a new consortium
Sasa mnahamia huku
This country was very loose
Regulation ninmuhimu
Mbona siku hizi hata nyama.inachanjwa na mashine, tungesikiliza watu kama wewe tungekua wapi?
Chifu.... Just stop it
Standards are standards..... We are not aniBut hii ya plastic was necessary
Mlianza majungu against nmb na shareholder wa Netherland, wamwwajibu Kwamba wapo with a new consortium
Sasa mnahamia huku
This country was very loose
Regulation ninmuhimu
Mbona siku hizi hata nyama.inachanjwa na mashine, tungesikiliza watu kama wewe tungekua wapi?
Chifu.... Just stop it
Standards are standards..... We are not animalsNmb ina CEO mitanzania mwanamama... Unataka awe nani?
We had many banks with poor oversight, labda ulikua mtoto tulipopigwa na meridian biao, Greenland etc. We'd rather have fewer banks with performance and compliance
And not every mwekezaji is clean
Nchi ilikua shamba la Bibi, hii norming is part of any system growth and maturity
HapanaSo Rabbobank nao wapigaji duh??
Issue ni kwamba,wanataka Kodi!ili uuze ubuyu,ice cream, karanga korosho maji kwenye vifungashio inakubidi uvigharamie ili iwe na jina lako(kampuni,TIN)then TBS eanaidhinisha units wa vifungashio.Yaani ishu ni nembo tu ya TBS kwenye kifungashio au mi ndio sijaelewa ipasavyo!?
Yaani nembo tu!? Ikishakuwepo ndio vinakuwa sahihi kutumika bila kuathiri mazingira!? Huu usomi wenu huu!!!?
Kuwa na nembo ya TBS maana yake bidhaa yako imehakikiwa na kupewa nambari ya usajili na TBS...Yaani ishu ni nembo tu ya TBS kwenye kifungashio au mi ndio sijaelewa ipasavyo!?
Yaani nembo tu!? Ikishakuwepo ndio vinakuwa sahihi kutumika bila kuathiri mazingira!? Huu usomi wenu huu!!!?
Watu wamejiajiri wanapata ridhiki kupitia hivyo vifungashio visivyo na nembo ya TBS
Wauza Barafu, miwa, ubuyu ,karanga mnawaweka wapi?
Baadala ya kuwapa elimu ya kutunza mazingira ndio mnataka kuwadidimiza kwenye umasikini.
Kwa nilichokielewa hapo, sio kodi kutoka kwa huyu mfungaji ubuyu. Vile vifungashio vitapigwa chapa huko huko kiwandani halafu vinaletwa mjini sokon Kariakoo kuuzwa, halafu mchuuzi mwenzangu ataenda kuvinunulia pale pale mjini sokoniIssue ni kwamba,wanataka Kodi!ili uuze ubuyu,ice cream, karanga korosho maji kwenye vifungashio inakubidi uvigharamie ili iwe na jina lako(kampuni,TIN)then TBS eanaidhinisha units wa vifungashio.
Bado minne.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Sent from my Lenovo K10a40 using JamiiForums mobile app
Certified IdiotNmb ina CEO mitanzania mwanamama... Unataka awe nani?
We had many banks with poor oversight, labda ulikua mtoto tulipopigwa na meridian biao, Greenland etc. We'd rather have fewer banks with performance and compliance
And not every mwekezaji is clean
Nchi ilikua shamba la Bibi, hii norming is part of any system growth and maturity
Wangeanza na Elimu kwanza badala ya kutaja vifungo vikubwa vikubwaHiyo mnajua inasaidia nini ?
Ina affect bei ya hivyo vifunganishio ?
Tupewe elimu hapo
You can say anything...Certified Idiot