Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
BuhahahahahahTafuta vifuu vya nazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BuhahahahahahTafuta vifuu vya nazi
Sometimes unakuwaga bonge la mpumbavuChupa za maji zitakuwa za bati?
Mkuu tulikua tunanyapia nyapia kwa kuleta nivea hizi kuja kuuza bongo sasa hivi wanataka ulipie usajiri kwa kila bidhaa utakayoleta moja ni laki tano roll za nivea zipo Kama aina ishirini hivi hizo zingine lipia laki mbili na nusu hapo utakuja kwenye lotion zake unakuta mtaji mzima umeacha kwenye usajiri wa bidhaa hapo bado TBS na Kodi...mpaka unajiuliza wanafikilia nini kuweka viwango vikubwa vya kukomoana wakati hizo bidhaa bidhaa nyingi zinatakiwa hapo ili mzunguko wa fedha uwepo...Tuko vizuri kwa kweli.
Mimi nataka ifike hatua mpaka nyanya na vitunguu ziwe zinabandikwa stika ya TRA.
Kwa nikinunua mkate niutoe niushike mkononi bila nylonView attachment 1666617
Makusanyo ya DPP hatujaelezwa, Yale yalikua ni ya TRA tu.
Mimi ni ..... wawanyonge, mniombeeNi vile vifungashio wanavyotumia wanyonge kufungashia mihogo,karanga,ubuyu na maandazi?
Hmmm Mambo ya makazi mazuri ni Jambo la muhusika mwenyewe, labda tuongelee mambo mengine. Kuna mambo hayavumiliki kabisa hivyo ukizingua unakula fimbo tu😂😂Lakini huduma zao kwa raia ni nzuri. Sasa huku unalipishwa laki tano ilhali unaishi kwenye nyumba ya matope na ukicheka mkuu wa Wilaya anakulamba viboko.
Hii combination ya Ummy Mwalimu na Mwita Waitara bado sijaielewa!Five again.
Taratibu wale machinga wote barabarani watapotea.
Tz nchi ya wasio na furaha!Safi sana very very nice
Ninachopendea kwenye kuumia tunaumia
Wote....safi sanaaa safi sanaaa
Ova
Utaierewaaaa tuHii combination ya Ummy Mwalimu na Mwita Waitara bado sijaielewa!
Hahahaaaa....... Ngoja tuone!
Jiwe Anapenda kodi kupindukia kama serikali za nchi ya skandinevia. Kwao wanathamini kodi vibaya sana na ukikwepa kulipa uzito wake ni mkubwa hata kuliko kesi za kuua na kubaka.
Niliogopa nkapiga hesabu sasa wale jamaa wanaotuuzia Korosho Wataanza kutuuzia za kupima!Sio kweli kwamba wauza Barafu ubuyu etc watashindwa kufanya biashara.. Ukienda kariakoo soko dogo Vifungashio vilivyopitishwa na TBS vipo Saizi zote... Hivi vya TBS ni transparent kama hivi Vingine Tu nani vizito kidogo. UELEWA KWA WATUMIAJI NI MUHIMU.. SERIKALI BADO HAIJATOA ELIMU YAKUTOSHA