Vifurushi vya data vinapunguzwa lakini gharama inabaki palepale, kwa nini Serikali haidhibiti jambo hili?

Hebu tujikite kwenye malalamiko ya msingi na siyo vitu vidogo kama bei ya bando.

Kuna mambo muhimu ya kulalamiiia kama:-
-upatikanaji wa katiba mpya.
-kufutwa/kuondolewa kwa sheria kandamizi
-kufutwa/kuondolewa kwa tozo
-kurudishwa kwa fao la kujitoa
-wakulima kupewa mafao ya uzeeni.
...n.k
Uliyoorodhesha ni sawa lakini hayaondoi wala kupunguza kero ya kupanda kwa gharama za bundles za data. Vyote vinatakiwa kufanyiwa kazi. Labda we mwenzetu ni mtumishi wa mitandao hiyo na unapata data bure, tutajuaje!! Ndio maana kwako sio kero! Tuache tunaokereka tutoe kero yetu!
 
Hebu tujikite kwenye malalamiko ya msingi na siyo vitu vidogo kama bei ya bando.

Kuna mambo muhimu ya kulalamiiia kama:-
-upatikanaji wa katiba mpya.
-kufutwa/kuondolewa kwa sheria kandamizi
-kufutwa/kuondolewa kwa tozo
-kurudishwa kwa fao la kujitoa
-wakulima kupewa mafao ya uzeeni.
...n.k
Wewe ni mpumbavu hakuna mfano ,yani ubataka tupate katiba mpya ndo vifurushi vishuke bei,kenge wewe
 
tugomee matumizi ya mtandao na pia kupunguza kupiga simu kwa miezi miwili mpaka mitatu, watakapokosa mapato haraka wataweka rate ndogo.
 
mwenye mmiliki wa Tigo ni Rostam, unamjua rostam umarufu wake tanzania, sasa waziri nape ni mdogo sana kwenda kumwambia chochote rostam kuhusu bando au ubovu wowote,anajua atakosa kazi
 
Moja ya mambo ambayo madikteta hawapendi ni kukosolewa, kwa miaka ya hivi karibuni mitandao ya kijamii imekuwa njia kubwa ya kukosoa mamlaka na kuleta mabadiliko katika jamii.

Kipindi Rais Samia anaingia madarakani mitandao mingi ilikuwa na bei ndogo za vifurushi mfano, mimi nilikuwa nikinunua GB 3 kwa shilingi 2000 ambazo zilidumu kwa siku 3, hiyo ni kupitia mtandao wa Airtel.

Pia nilinunua GB 2 kwa shilingi 2000 kupitia mtandao wa Halotel ambazo zilidumu kwa siku 7.

Kwa ile miezi ambayo nilikuwa na matumizi makubwa ya internet, nilinunua kifurushi cha Vodacom cha shilingi 50,000 ambacho kilinipa gb 30 za kasi na baada ya hapo kasi inapungua lakini naendelea kutumia vizuri tu kwa siku 30 tena una stream vizuri kabisa.

Baada ya huyu mama kuingia leo tunashuhudia shilingi 2000 eti haitoshi kununua GB 1 tena mtandao wa Tigo unafanya utapeli kwa kuwauzia watumiaji wake Mb 300 na kuziita GB 1, ukitaka kuhakiki, weka app ya kufuatilia matumizi ya vifurushi vyako utagundua kuwa ni mtandao 1 tu ambao vifurushi vyake ni halisi, tena mtandao huo pia umeanza michezo michafu ya kupandisha hovyo bei.

Ninacho ona hapa, hiki si kitu cha bahati mbaya, haya yatakuwa maelekezo ya kidikteta toka juu ili tupunguze kuhoji mambo ya msingi.

Naamini uzi wangu utadumu, poleni sana kwa aina mpya ya udikteta.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_0199.jpg
 
Kweli Giga 1 kwa sasa imegeuka MB 300,sio tu Airtel hata Tigo wanakula kwetu bila kunawa.
Tigo akikukopesha kifurushi cha sh 2000 anakukata sh 400 kwa muda mfupi! Hiyo interest rate ya 20% imeidhinishwa na nani?
Kipenzi chetu TIGO amegeuka Shailoki kwenye Mabepari wa Venice, anahitaji umlipe kilo mmoja ya nyama yako karibu na moyo.
Lakini wasisahau nguvu ya umma.Tumechoka na upuuzi huo.

hakuna nguvu ya umma tanzania, kuna nguvu ya umma yakushbikia simba na yanga
 
Hebu tujikite kwenye malalamiko ya msingi na siyo vitu vidogo kama bei ya bando.

Kuna mambo muhimu ya kulalamiiia kama:-
-upatikanaji wa katiba mpya.
-kufutwa/kuondolewa kwa sheria kandamizi
-kufutwa/kuondolewa kwa tozo
-kurudishwa kwa fao la kujitoa
-wakulima kupewa mafao ya uzeeni.
...n.k
Mbona bei za vyakula kupanda kiholela, umeme wa magumashi na uhaba wa maji hapo dar hujaongezea [emoji23]
 
Hebu tujikite kwenye malalamiko ya msingi na siyo vitu vidogo kama bei ya bando.

Kuna mambo muhimu ya kulalamiiia kama:-
-upatikanaji wa katiba mpya.
-kufutwa/kuondolewa kwa sheria kandamizi
-kufutwa/kuondolewa kwa tozo
-kurudishwa kwa fao la kujitoa
-wakulima kupewa mafao ya uzeeni.
...n.k
Kunguru wewe,

Nyie ndo mnajiita wapinzani?

Mavi kabisa wewe
 
Hivi kwanini lawama zinaenda kwa mawaziri tu ila rais Samia hahusishwi hata kwa kushindwa kugusia malalamiko ya wananchi kwa aliyewateuwa?
 
Moja ya mambo ambayo madikteta hawapendi ni kukosolewa, kwa miaka ya hivi karibuni mitandao ya kijamii imekuwa njia kubwa ya kukosoa mamlaka na kuleta mabadiliko katika jamii.

Kipindi Rais Samia anaingia madarakani mitandao mingi ilikuwa na bei ndogo za vifurushi mfano, mimi nilikuwa nikinunua GB 3 kwa shilingi 2000 ambazo zilidumu kwa siku 3, hiyo ni kupitia mtandao wa Airtel.

Pia nilinunua GB 2 kwa shilingi 2000 kupitia mtandao wa Halotel ambazo zilidumu kwa siku 7.

Kwa ile miezi ambayo nilikuwa na matumizi makubwa ya internet, nilinunua kifurushi cha Vodacom cha shilingi 50,000 ambacho kilinipa gb 30 za kasi na baada ya hapo kasi inapungua lakini naendelea kutumia vizuri tu kwa siku 30 tena una stream vizuri kabisa.

Baada ya huyu mama kuingia leo tunashuhudia shilingi 2000 eti haitoshi kununua GB 1 tena mtandao wa Tigo unafanya utapeli kwa kuwauzia watumiaji wake Mb 300 na kuziita GB 1, ukitaka kuhakiki, weka app ya kufuatilia matumizi ya vifurushi vyako utagundua kuwa ni mtandao 1 tu ambao vifurushi vyake ni halisi, tena mtandao huo pia umeanza michezo michafu ya kupandisha hovyo bei.

Ninacho ona hapa, hiki si kitu cha bahati mbaya, haya yatakuwa maelekezo ya kidikteta toka juu ili tupunguze kuhoji mambo ya msingi.

Naamini uzi wangu utadumu, poleni sana kwa aina mpya ya udikteta.
Kama Waziri mwenye dhamana kaingiziwa 500,000,000 Tsh kwenye akaunti yake unafikiri atafanya nini kwa wananchi? Kwa mitandao ku generate 500,000,000 Tsh is ma matter of seconds!
 
Back
Top Bottom