Umenichekesha mkuuEPL weekend nikiwa sebuleni kwangu inanifanya nishindie dagaa[emoji31]
DSTV kwa kupandisha bei vifurishi tu hawajambo
Hii ni kweli kabisa😁Kama ni mpenzi wa dstv ukifunga azam yaani kesho tu asubuhi lazma umuite fundi aje abadili uelekeo urudi dstv
Mkuu nipe maujanja Ili wadogo zako Nyumbani hapa Wasiishi kinyongeBado mnalipia DStv nyie kenge? Kweli watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa
#Mitano tenaNampongeza mama samia kwa hili