Vifurushi vya DStv kupanda bei kuanzia April Mosi mwaka huu 2024

Vifurushi vya DStv kupanda bei kuanzia April Mosi mwaka huu 2024

WildEarth nayo naona wanaiondoa sijui kipindi changu pendwa cha The Wild Show ntakiona wapi tena. Dstv mnazingua
 
Anaetaka DSTV anitafute nimpe bure king'amuzi na remote, mwaka wa pili huu sada situmui inajaa vumbi tu.
 
Back
Top Bottom