Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
Nilikuwa napata dk 135(voda),15(other) & 1.5GB kwa 2.5k kwa wiki....Sasa hivi wanatoa mb800 tu dah😆😆Voda wamepunguza mb za super Uni, muda wa kuhama umefika.
500 ni mb 250 kwa siku
1000 ni mb 500 kwa siku.
2000 ni mb 500 kwa wiki