Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ni rahisi sana kuchukua hela za mtu skuiz, cha msingi uotee shida aliyonayo
Kama ni kweli kamchapa jamaa basi nami aliikosa hela yangu ila mimi nilitaka nimwambie aniunge kwanza hela ifate ila nilivoona simuelewi elewi nikapotezea tu ishu yenyewe.
Screenshot_2019-05-15-07-46-50-525_com.UCMobile.intl.png

Screenshot_2019-05-15-07-47-04-737_com.UCMobile.intl.png

Screenshot_2019-05-15-07-47-13-842_com.UCMobile.intl.png

Screenshot_2019-05-15-07-47-27-418_com.UCMobile.intl.png
 
Mkuu.

Bado nilikuwa nafanya utafiti wa router ipi ya kununua.

Nimefika muafaka wa kununua cha Smile.

Nimeona TTCL kama ni bahati nasibu, hawapo reliable.
Hawa smile nje ya mji kidogo wa dar wanapatikana kweli?
 
Back
Top Bottom