Kesi yako kama yangu mkuu, walikitoa ghafla tu.nilivowapigia wasema eti wanaangalia matumizi yako. Kama haufiti wanakufyekelea mbali[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwangu ipo Ila sio kama hiyo...kwangu kifurushi cha 1500 sipati dakika wala gb zote hizo!
Walikuwa wananipa dakika150(tigo),50(yote) & 1GB kwa 2500 kwa wiki.....wamekiondoa juzi hapa
Huu sasa ubwege! Watu tuna matumizi makubwa lakini bado tunawekewa vifurushi vidogo...Kesi yako kama yangu mkuu, walikitoa ghafla tu.nilivowapigia wasema eti wanaangalia matumizi yako. Kama haufiti wanakufyekelea mbali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
TTCL wamekuja na ofa ya sabasaba ambapo kwa Tshs. 500 unapata MB 777 kwa siku 7Voda wamepunguza mb za super Uni, muda wa kuhama umefika.
500 ni mb 250 kwa siku
1000 ni mb 500 kwa siku.
2000 ni mb 500 kwa wiki
Nzuri mkuu, huu uzi itabidi nipate muda niu edit kuna vifurushi vizuri vingi tu.TTCL wamekuja na ofa ya sabasaba ambapo kwa Tshs. 500 unapata MB 777 kwa siku 7
Kuipata
*148*30#
Then chagua 7 ofa maalum
Then chagua namba 3
Ukibonyeza shift na 2 inakuja @?Mkuu naomba msaada wako kama unalifaham hili,namna ya Ku unlock keyboard letter katika laptop,kuna button hapa haifunction kila nikibonyeza hata nikitumia onscreen keyboard inaonekana imejilock......
Hizi keyboard zipo nyingi kuna qwerty, Azerty etcYap inakuja ndiyo
Ulikuwepo kitambo bob!Ndo mtandao gani tena huo?
Smart guy
Ok poa umesomeka kiongoziUlikuwepo kitambo bob!
Walianza kwa mbwembwe lakini wakaishia kuyeyuka tu
Hahahah🤣🤣 yaani niliwatikisaga wee mpaka nikaamua kufuta watikisane wenyewe asee vi mb 10 mala sijui vi sms 20 wazinguaji sana HALOTELNani kajaribu hii.
View attachment 1145039
View attachment 1145040
Inaonekana odds za hizo 10GB, 500MB, 200MB na 100 MB ni ndogo sana. Labda chini ya 1%. Au kuna mtu humu amezibahatisha.
Hahahah🤣🤣 yaani niliwatikisaga wee mpaka nikaamua kufuta watikisane wenyewe asee vi mb 10 mala sijui vi sms 20 wazinguaji sana HALOTEL
Nilipata 500mb mara moja tu ndani Kama ya miezi 3Nani kajaribu hii.
View attachment 1145039
View attachment 1145040
Inaonekana odds za hizo 10GB, 500MB, 200MB na 100 MB ni ndogo sana. Labda chini ya 1%. Au kuna mtu humu amezibahatisha.
Kuna kipindi walikuwa na Trial ya 4G, ila kwa uelewa wangu hawana 4G kwa watumiaji wa kawaidaHv Airtel wana 4G TZ? Maana siwaelewi kabisa hawa...