Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nimefanikiwa baada ya kuirestart PC.....
 
Wa voda una unganishiwa lain ya chuo halafu ikikaa muda flan hv lain wanaondoa kifurushi cha chuo
 
Ukitoa TTCL sidhani Kama Kuna kwenye vifurushi vizuri vya chuo. Wote wamepunguza.


Hivi kuna mtandao unaotoa true unlimited kama nchi nyingine ambapo unatumia utakavyo ukilipia kiasi flani. Kwasababu naona hii mitandao inatufanya watanzania wajinga, unakuta kuna vifurushi vya mwezi hadi vya 100000 lakini unakuta GB 40 . Wakati nchi nyingine watu wanalipa 50000 kwa mwezi anapata unlimited @ 6Mbps. Halafu eti wanatuambia Tanzania ni nchi yenye bei nafuu data.
 
Mkuu kwenye mobile data Hata huko duniani throttling ipo,

Ukitaka true unlimited ipo kwenye broadband ambayo hupatikana Sana mjini, around 70K unapata 10mbps kwa Tanzania.

TTCL Wana nduki ambayo hupatikana Hata maeneo yasiyo katikati ya jiji sema Bei na speed haviendani.
 
Ni unlimited?!
 
Njoo halotel ni unlimited aisee kuna vifurushi vya Royal unajiunga kwa 10k mwzi mzima dakika za mitandao yote na halotel , sms kama zote na internet bila kipimo wala kikomo mwezi mzima. Unaingia kila mtandao wa kijamii bila kulimitiwa sjui youtube unawezxa hata shida youtu.be unastream mamuvi na udaku insta ni wewe tu acha kujitesa wote voda tushaikimbia mda. Voda kwangu ipo hewani kwa ajili ya kuokea wanaopiga tu sio niweke salio no narudia tena noooo.
 
Hahahaha niliwaulizaga wakasema hapa hawana 4g na spidi iko hivi wakiiweka eti vifurushi vitakuwa havikai[emoji38][emoji38]
Wajinga inamaana hawataki na sisi watz tijidai kwa internet yenye kasi kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…