Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Niliwatolea povu halotel kwa hii ishu na hawakusema shida nini.
Waliishia tu kuuliza upo sehemu gani mafundi wetu walifanyie kazi tatizo lako.

Now ndio umenifungua macho.
 
Jamani nilikua sijui kuwa Vodacom kifurushi cha chui kimepigwa panga!!!!
Mnanishauri nihamie mtandao gani, wenye kazi na virufushi vya MB vizuri.
 
Nilidownload GTA V ya 54GB kwa siku 2 ila wanatoa <30GB kwa usiku tu
Mimi nilidownload FIFA 19 ndani ya usiku mzima na asubuhi saa 11 kilikuwa limeisha nikaanza jengine likadownload Kama GB 6,

Hizo GB 30 zikiisha kwako inakata?
 
TTCL Instagram,watsaap na facebook free ukiwa na bando yeyote active
Nimetumia ttcl kwa mda ila. Now nina mda sjatumia hili ni la kweli au biashara matangazo naomba mdhibitishe aisee
 
Mimi nilidownload FIFA 19 ndani ya usiku mzima na asubuhi saa 11 kilikuwa limeisha nikaanza jengine likadownload Kama GB 6,

Hizo GB 30 zikiisha kwako inakata?
Ndio haizidi hapo saa kumi na mbili hyo
 
Jana sasa,net ina connect na ku disconnect kila sekunde... Hawa jamaa kavu sana..ilibd nirud voda usku bila kupenda dah
Kumbe tupo wengi nilijua ni Samsung langu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…