Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwa Upande wa Halotel ya kawaida
 
Mwenye ramani ya coverage ya 4G ya halotel....
Au iko dar tu
 
Hicho kifurushi kipo kwenye menyu ya kawaida tu *147*00# then saizi yako.....ni tsh 10000 sasa kama hauna kwenye saizi yako kuna mtu anaunga ila bei inaongezeka kidogo......kama unahitaji utaniambia nikuunganishe naye mkuuView attachment 1191293
nahitaji hii naomba uniunge mkuu, njoo inbox tuyajenge mimi sina hiyo option
 
Mwenye kuunganisha voda chuo na tigo kile Cha elfu kumi gb 10
 
Hicho kifurushi kipo kwenye menyu ya kawaida tu *147*00# then saizi yako.....ni tsh 10000 sasa kama hauna kwenye saizi yako kuna mtu anaunga ila bei inaongezeka kidogo......kama unahitaji utaniambia nikuunganishe naye mkuuView attachment 1191293
Mimi nikiingia kwenye menu yangu tigo mbona sipati hivi vifurushi ?
 
Hii ndio hunipa kiburi asee, sema speed sio nzuri kihivyo. Inawezekana ni sababu ya eneo nililopo. Tigo hiyo.
 
Dah wakuu kuirudisha au kuipata ofa ya tigo buku1 GB1wiki inakuaje?
Maana hii menu siioni tena wakati ilikuwepo ila nilipochange laini ya 4G tu ikawa majanga siipati tena
 
Mtandao gani nitaweza kupata japo 1GB kwa 1000 japo kwa wiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…