Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sijakupata fresh mkuu kwani kinaitwa hicho kifurushi?samahani kwa usumbufu.
Usijali. Kinaitwa Usiku Ofa (Ramadhani ofa). Ukiwa na line ya halotel unabonyeza *148*66# ili kuingia kwenye menu yao
-Unachagua ofa maalumu kwa kubonyeza 1
- Unachagua Usiku ofa kwa kubonyeza namba 6. Hapo utachagua cha 1000.
 
Hapo nimekupata nimekiona👏 ujue hiki cha buku jero gb10 ni ndogo..Asante sana mkuu.
 
Usijali. Kinaitwa Usiku Ofa (Ramadhani ofa). Ukiwa na line ya halotel unabonyeza *148*66# ili kuingia kwenye menu yao
-Unachagua ofa maalumu kwa kubonyeza 1
- Unachagua Usiku ofa kwa kubonyeza namba 6. Hapo utachagua cha 1000.
Mkuu hiki kifurushi mpe tahadhari mapema, kama ana kifurushi kingine akitumie kiishe kabisa ndio ajiunge hicho kifurushi, maana kuna muda waweza jiunga kila baada ya sekunde inaji disconnect.
Binafsi imenitokea mara tatu hiyo hali.
Nimeshawalalamikia mno kwenye page zao.

Ila siku zingine ukijiunga inatulia vizuri tu.
 
Kwani ukitumia simu kama modem kuna shida ya disconection?
 
[emoji1488]
Hiki kifurushi kunasiku waweza toa buku lako sadaka.
Ila kwa halotel ni kawaida mambo hayo,unaweza kuweka buku jero yako usiku ili ujiunge kile cha GB10 ila unakuta menu yao ile 66# inakataa na ndiyo kilipo hicho kifurushi na ukiacha salio useme ujionge kesho basi hulikuti kama lilivyo lazima wapunguze tu kidogo.
 
Anyway natoa kongole kwa airtel speed yao ukilinganisha na mateso na huzuni walokuwa wakinipa tigo na kifurushi chao cha gb mbili kwa buku jelo!
 
Kwa wale wenye Airtel line hizi Mpya za 4g na cm ikiwa 4g press. *148*88# chagua number mbili upate GB 4 bure Kwa wiki nzima
Hizi tushatafuna mpaka tukasahau..! Wenye hawajawahi
zichangamkiaga bado kazi kwao...
 
Ila kwa halotel ni kawaida mambo hayo,unaweza kuweka buku jero yako usiku ili ujiunge kile cha GB10 ila unakuta menu yao ile 66# inakataa na ndiyo kilipo hicho kifurushi na ukiacha salio useme ujionge kesho basi hulikuti kama lilivyo lazima wapunguze tu kidogo.
Ukiona hizo dalili unakuwa tu mpole dk kadhaa then unajaribu tena.
Kinacho kera ni hiyo tabia umesha jiunga internet ipo fresh kabisa muda ukifika hiyo saa sita internet ina kata na kurudi kila baada ya sekunde.

Solution: Ikifanya hivyo vuta subira hadi kwenye saa nane hivi jaribu tena.
 
Back
Top Bottom