Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Unakipata kwa menu ipi
Kipo ndani ya App yao ya TTCL Huduma iko playstore so download kisha ifungue na nenda sehemu ya Ofa Kabambe utakipata hapo hakuna code yenye iko associated na hicho kifurushi isipokua ndani ya app yao tu...
 
Hii ndio JF na watu kama nyie ndio mnaipendezesha JF
 
Nampigia customer care HALOTEL anasema ni kawaida [emoji23][emoji23], Hawa jamaa hawako serious kabisaa. Niko hapa nawaza huko huko TTCL Naona wana unlimited ila sina uhakika kama hiyo option inapatikana kwenye menu yao ya kawaida. Naenda kuwaona kesho ofisini kwao.
Acha kabisa mkuu ni majanga mi ndo ninajiungaga hiko kifurushi now kina kama wiki 1 hivi toka nimalize zile gb za kasi naona speed ni ndogo sana mpaka nawaza kuhama niende zangu ttcl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…