Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu


Wanasema huduma hii ni kwa wateja waliochaguliwa tu.

Sasa kuchaguliwa huko unatakiwa uwe na vigezo gani ili uwe mteja uliyechaguliwa tafadhali...?

Shukran sana.
 
Kwa nin nihame AIRTEL...[emoji780]hatupimi bando for SURE
Kifurushi cha Yatosha Mitandao Yote kwenye Airtel nashidwa kukielewa









Inakuwaje ukiangalia kifurushi kilichopo kinakwambia kupiga mitandao mingine inaonyesha zipo dakika, ila kupiga Airtel kwenda Airtel dakika ni 0?

Wanaposema Yatosha Mitandao Yote wanamaanisha nini?
 
Mkuu kwan hawa smart covarage yao kwa hapa TZ ikoje nataman pia kuwajarbu.
wana coverage nzuri tu, almsot mikoa yote wapo kuna minara fulani hivi ipo mingi mingi wanatumia.

jaribu kuwasearch na simu, nenda kwenye network search chagua manual, hakikisha unasearch na simu yenye 3g quad band,

pia usisahau kurudisha auto ukimaliza kusearch
 
Mbona mawakala wao awaonekani huku mikoani wakisajili lain kama mawakala wa mitandao mengine
 

Poa mkuu ngoja nijarbu maana naona wako vizuri kwa upande wa vifurushi vya internet watanifaa kwa kiasi fulani.
 
Jamani kile kifurushi cha 10GB kwa 600/= bado kipo kuna trick ya kukipata hebu fanya hivi weka pesa kwa AIRTEL MONEY account yako hata buku hivi then tuma tsh 600/= kwa hii No. 0785566273 utaona jina FRANK LUGANO usiogope huyu jamaa ni balozi wa airtel wa chuo kikuu cha UDOM baada ya muamala wako kukamilika just ni dk.0 tu anakutumia SMS yenye jina lako kamili ulilosajiria laini yako ya Airtel ya kukushukuru then kama sekunde kadhaa hivi anatuma SMS yenye namba za UNI na maelezo jinsi ya ya kuzijaza kwa maana sio za kujaza tu kama vocha zingne kwa mnaotumia hizi vocha za UNI nadhani mtakua mnajua ambavyo huwa tunajaza unapiga *149*94* namba za hiyo then # unapata 10GB zako tu kwa siku 3 kuanzia saa 5 usiku mpaka majogoo spidi ya fastje,Na hii huduma ananunua mtu yeyote yule mwenye laini ya airtel kwa kufuata procedures nilizokupeni hapo juu haijalishi ni mwana chuo au mtu wa kitaa ni kwa wotee .

TRUST ME GUYS WORRY OUT IT IS ABSOLUTELY LEGAL TRICK!

Me nimekua nikitumia sana kwa muda mrefu najilia vyangu tu kuanzia saa 5 usiku nikijiunga na kama utapata tatizo au umekwama mahala flani usisite niulize nakuelekeza vizuri.
 
Mi mwenyewe huwa natumia hii system ni legal na nahisi ni moja ya project zake ambazo zimedhaminiwa na airtel na hua haicharge more na kinachotakiwa mfano,kama wataka kifurushi cha buku unakipata kwa buku,1500 kwa 1500,600 kwa 600. Na ni chap chap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…