Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 683
- 782
Imeanza lin hii?500tshs mb 500 wiki.
1500tshs 1.5gb,sms 500,dk 160 mitandao yote!
Muda tu sikukumbuki lini.menu ya chuoImeanza lin hii?
Voda ni wezimambo ya vodacom hayo kazi ni kwakoView attachment 1462690
hakuna mtandao kam voda yani hawa jamaa licha ya vifurushi vyao kuwa juu ila internet yao dah nikibonyeza yani inateleza mpka nafurah kiukweli niko na voda mpaka mwishoVoda ni wezi
Sawahakuna mtandao kam voda yani hawa jamaa licha ya vifurushi vyao kuwa juu ila internet yao dah nikibonyeza yani inateleza mpka nafurah kiukweli niko na voda mpaka mwisho
Mkuu! Embu screen shot menu yao nzima maana mimi niliwahama mwaka jana kwa kua waliongeza bei ya vifurushi500tshs mb 500 wiki.
1500tshs 1.5gb,sms 500,dk 160 mitandao yote!
Wataalamu nisaidieni hii speed nilio nayo ni nzuri? Moja ni test ya 4g nyingine nimetest 3g zote mtandao wa Tigo eneo nililopoNiliu update mkuu, mda fulani sema sikufanya utafiti wa kutosha mitandao yote.
Hivyo vya halotel bado vipo na kama upo eneo ambalo Halotel wana 4g nakushauri tumia hivyo, voda na Tigo hawana ofa maalum zinabadilika badilika kutokana na mtu hivyo piga tu hizo namba ujaribu bahati yako.
speed ya kawaida mkuu sio mbaya sio nzuri, inaonekana kuna watumiaji wengi sana eneo lako.Wataalamu nisaidieni hii speed nilio nayo ni nzuri? Moja ni test ya 4g nyingine nimetest 3g zote mtandao wa Tigo eneo nililopo
Hii ya 3g
View attachment 1473882
Hii ya 4g
View attachment 1473884
Ok asante, ping inatakiwa walau ngapi? Na inapokuwa ndogo ndio nzuri zaidi?speed ya kawaida mkuu sio mbaya sio nzuri, inaonekana kuna watumiaji wengi sana eneo lako.
3g japo ina download speed kubwa ila pia ping yake ni kubwa pia, 4g inaonekana itakupa experience nzuri zaidi
Ping ikiwa ndogo ndio nzuri zaidi, kwa mitandao kama Voda ama Halotel 4g zao zinakuwa around 20ms mpaka 30ms hivi. Na kwa hizi fiber hadi 1ms inafika.Ok asante, ping inatakiwa walau ngapi? Na inapokuwa ndogo ndio nzuri zaidi?
Nilipo mnara wa 4g unasoma bar 1 tu nadhan ndio maana inapitwa na 3g
Vipi speed hii ninayopataPing ikiwa ndogo ndio nzuri zaidi, kwa mitandao kama Voda ama Halotel 4g zao zinakuwa around 20ms mpaka 30ms hivi. Na kwa hizi fiber hadi 1ms inafika.
Nzuri kiasi mkuu, voda max unapata hadi 50mbps ama zaidiVipi speed hii ninayopata
Vodacom 4GView attachment 1474458
Sawa sawaNzuri kiasi mkuu, voda max unapata hadi 50mbps ama zaidi