Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hapa Vodacom wanazingatia vitu vp kwenye mlinganyo huu wa vifurushi vya Intenati supa speedi kundi A ni hivi:- GB 7@10000,GB15@20000,30GB@35000 & 50GB@50000 tzshs. Kundi B ni hivyo :-
Screenshot_20200604-181136.jpg
 
Niliu update mkuu, mda fulani sema sikufanya utafiti wa kutosha mitandao yote.

Hivyo vya halotel bado vipo na kama upo eneo ambalo Halotel wana 4g nakushauri tumia hivyo, voda na Tigo hawana ofa maalum zinabadilika badilika kutokana na mtu hivyo piga tu hizo namba ujaribu bahati yako.
Wataalamu nisaidieni hii speed nilio nayo ni nzuri? Moja ni test ya 4g nyingine nimetest 3g zote mtandao wa Tigo eneo nililopo
Hii ya 3g
Screenshot_2020-06-10-09-01-21-457_org.speedspot.speedanalytics.jpg

Hii ya 4g
IMG_20200610_090821.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2020-06-10-09-01-21-457_org.speedspot.speedanalytics.jpg
    Screenshot_2020-06-10-09-01-21-457_org.speedspot.speedanalytics.jpg
    34.5 KB · Views: 3
Wataalamu nisaidieni hii speed nilio nayo ni nzuri? Moja ni test ya 4g nyingine nimetest 3g zote mtandao wa Tigo eneo nililopo
Hii ya 3g
View attachment 1473882
Hii ya 4g
View attachment 1473884
speed ya kawaida mkuu sio mbaya sio nzuri, inaonekana kuna watumiaji wengi sana eneo lako.

3g japo ina download speed kubwa ila pia ping yake ni kubwa pia, 4g inaonekana itakupa experience nzuri zaidi
 
speed ya kawaida mkuu sio mbaya sio nzuri, inaonekana kuna watumiaji wengi sana eneo lako.

3g japo ina download speed kubwa ila pia ping yake ni kubwa pia, 4g inaonekana itakupa experience nzuri zaidi
Ok asante, ping inatakiwa walau ngapi? Na inapokuwa ndogo ndio nzuri zaidi?

Nilipo mnara wa 4g unasoma bar 1 tu nadhan ndio maana inapitwa na 3g
 
Ok asante, ping inatakiwa walau ngapi? Na inapokuwa ndogo ndio nzuri zaidi?

Nilipo mnara wa 4g unasoma bar 1 tu nadhan ndio maana inapitwa na 3g
Ping ikiwa ndogo ndio nzuri zaidi, kwa mitandao kama Voda ama Halotel 4g zao zinakuwa around 20ms mpaka 30ms hivi. Na kwa hizi fiber hadi 1ms inafika.
 
Back
Top Bottom