Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

wapi afadhali kwa sasa?
Hakuna penye afadhali kote chali kuanzia ttcl voda tigo airtel hamna kitu nimefany ulinganifu nimeona bado halotel wana unafuu kuliko wote hao kweny vifurushi kupanga ni kuchagua
 
Hakuna penye afadhali kote chali kuanzia ttcl voda tigo airtel hamna kitu nimefany ulinganifu nimeona bado halotel wana unafuu kuliko wote hao kweny vifurushi kupanga ni kuchagua
thanks mkuu
nilipo mimi Halotel haishiki
 
Internet ya airtel vipi tena jamani? Nshazoea 2000 napata GB 2 , leo naamkia MB 750 au 975😩. Wapi kuna unafuu sikuhizi?
 
jamani hali ni mbayaa vifurushi vimekua ghali kuliko bia [emoji848][emoji848]
 
jamani hali ni mbayaa vifurushi vimekua ghali kuliko bia [emoji848][emoji848]
Acha tuisome namb mkuu afu kuna watu watakuja hawana aibu mbele za tv zetu kuwa wanajali wanyonge
 
Reactions: Lee
sasa vile vi online business vyetu tutaendeshaje sisi wanyonge [emoji26][emoji26][emoji26]
 
sasa vile vi online business vyetu tutaendeshaje sisi wanyonge [emoji26][emoji26][emoji26]
Ni mungu asikie kilio mkuu na hivi iko kisiasa hili jambo sitashangaa wametengeneza wahe baadae watatue waonekane wamefanya kazi na wanatujali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…